Four Years Later: My Reflection on President Magufuli: A Double Measure of Boldness and Dare

Guys guys, just be objective, Magufuli is not an angel, not perfect, he is a human being and will obviously manifest some human weaknesses, but on the other side, he has achieved so much for Tanzania within a very short period, listed below are just a few among a huge list of tangible and quantifiable accomplishments
Improved electricity connection to homes
Emphasis on education by making it free
Beefing up of security throughout the country
Services have been brought closer to the public
Construction of hospitals
SGR project
Expansion of road network
Beefing security by shooting Tundu Lissu?
Disappearance of Ben Saanane and Azory Gwanda?
Magufuli can eat his bridges, new roads etc . All we need is to live in peace
 
Heshima yako Mzee Mwanakijiji.

Nimesoma kwa utuo tathmini yako ya miaka minne (4) ya Mhe. Dr. John Joseph Pombe Magufuli, Mimi Ni nani hata nitie neno kwenye uchambuzi wenye uzania Kama huo.

Aghalabu kwa wapingaji, niseme kwa Hadith kwakua kuna FUNZO KATIKA KILA TAMBO.

Aliwahipo kutokea kipindi cha zamani Muuaji mmoja aliye wauwa watu 98, nafsi yake ikamsuta na akaamua kumrudia muumba wake. Akamfuata mmoja wa wazee na kumhadithia habari zake na kumuuliza je wadhani Muumba wangu anayo nafasi ya kunisamehe? Mzee yule akasema lahasha Habib muumba Ni mjuaye mimi hawezi kamwe, yule bwana akamuua na yule Mzee mshauri na kuwa wa 99, japo nafsi ya kuungama ilikua ikimuandama, akaamuapo kutafuta mtu mwingine akamuhadithia yale yaliyo moyoni mwake.

Yule mshauri akamwambia Habib navyomfahamu Muumba hakuna Jambo kubwa kwake ila kwakua umefanya uovu huo katika maeneo haya nakusihi Habib nenda mbali na hapa na Inshaallah Muumba atakusamehe, yule bwana Muuaji akaridhia na kuondoka.

Alipofika njiani umauti ukamkuta na malaika wa peponi wakisema huyu ni wakwao na wamotoni wakasema vivyo hivyo. Muumba akaliingilia kati Jambo hili na kusema mtu huyu aende peponi kwa kua alikua na nia thabiti ya ungamo la nafsi.

TUNAJIFUNZA NINI?
Iwapo atatokea yeyote akaikwepesha CCM na Tanzania ilipo leo hii katika hali duni atakua ni Mnafiki wa Nyota tano, ila kisa hicho hapo juu kinajaribu kuionyesha muungamo wa dhati juu juu ya madudu waliyoyafanya, na tunaziona jitihada za dhati za kurekebisha ule utumbo walioufanya.

KUMINYWA KWA VYAMA VYA UPINZANI.
Hili nalo si la kulifikichia macho katiba inawaruhusu, NI KWELI lakini je? Watasema nini juu ya utawala wa Mhe. Magufuli pindi waruhusiwapo, watamponda watasema anaikandamiza katiba ambalo kwa kiasi ni kweli, japo yeye ni MSEMAJI AMBAYE NENO LAKE HUWA SHERIA.

Labda swali ambalo wapinzani wanatakiwa wajiulize kabla ya yote. MZEE MWINYI, MZEE MKAPA NA MZEE KIKWETE waliiacha katiba ifanye kazi lakini ilitusaidia nini? Zaidi ya kutengeneza makundi ya wapiga dili na wezi waliokubuhu.

Waneni husema THE END JUSTIFY THE MWLEANS.

Ahsante
 
Ila Mzee Mwanakijiji, huwa siamini kama nilikuwaga nasoma makala zako kwenye magazeti especially Tanzania Daima na kile kijarida chako cha online. Nafikiri sasa ulikuwa na chuki binafsi na Kikwete. Kweli! This reign of terror, abductions,enforced disappearance, arbitrary arrest and torture ,trumped-up charges,attempted assassination in broad daylight na kila aina ya kituko ambavyo hatujawi kuvishuhudia hata wakati wa Nyerere. Halafu wewe unaandika nyee nye nye humu! Hujayasikia ya Azory, Ben Saanane, watu wa Mkiru, Tundu Lissu, Kabendera? Sijasoma huo upuuzi wako hapo juu,title imetosha, we jamaa ovyo sana, sikupendi kama Jiwe yaani.
 
Beefing security by shooting Tundu Lissu?
Disappearance of Ben Saanane and Azory Gwanda?
Magufuli can eat his bridges, new roads etc . All we need is to live in peace
Kabisa, we just need to live in peace, knowing that nobody is going to abduct us and our bodies got picked up in viroba at coco beach! He can eat bridges,planes,invisible industries and all that shit. But he should leave us alone.
 
Miaka 50 ya utawala wa chama chake na yeye akihudumu kama waziri kwa sehemu kubwa hakukuwa na kazi zinazoenekana kwa macho bali nyingi ni za kufikirika?
Ni kazi zipi hizo za kuonekana kwa macho zinazoitofautisha sana Tz ya mwaka 2015 na ya sasa 2019?
I was expecting business as usual with some cosmetic improvements. Niitegemea blahblah nyingi na kazi kidogo, lakini sasa naona ni kinyume, kuna kazi zinaonekana kwa macho, sio za kufikirika.
 
Where is Azory Gwanda?
Who made attempt vs Tundu Lissu's life?
How many "terrorists" were killed at Mkuranga, Kibiti and Rufiji?
Why it is illegal for opposition parties to conduct their political activities (eg political rallies) but not Magufuli's CCM?
Chato International Airport... for real?????
These are very good questions; but unfortunately they are directed to a wrong person. These are questions that should have been directed to IGP, DCI, DPP and even TISS. These are questions of law and order; If I were an opposition leader I would have put pressure on these organs and if necessary put pressure on the Prime Minister... even force his government to resign.
 
there's a big difference between assertiveness and aggressiveness. they never cohabit. frankly speaking you have either one or the other. mind you, never both!
"---assertiveness" versus "aggressiveness". I am inclined to agree with you on this.
Now, tell us, in your understanding of the two words, which word closely defines the intended subject? Once you do that we can then discuss the validity of the choice of the word based on how we know the subject's character.
 
Ila Mzee Mwanakijiji, huwa siamini kama nilikuwaga nasoma makala zako kwenye magazeti especially Tanzania Daima na kile kijarida chako cha online. Nafikiri sasa ulikuwa na chuki binafsi na Kikwete. Kweli! This reign of terror, abductions,enforced disappearance, arbitrary arrest and torture ,trumped-up charges,attempted assassination in broad daylight na kila aina ya kituko ambavyo hatujawi kuvishuhudia hata wakati wa Nyerere. Halafu wewe unaandika nyee nye nye humu! Hujayasikia ya Azory, Ben Saanane, watu wa Mkiru, Tundu Lissu, Kabendera? Sijasoma huo upuuzi wako hapo juu,title imetosha, we jamaa ovyo sana, sikupendi kama Jiwe yaani.

Yaani miye bado nakupenda.. usijali sana haya mambo. Utapata uchungu wa moyo bure. Nikiwa mjini nitafute tupate moja moto moja baridi.
 
These are very good questions; but unfortunately they are directed to a wrong person. These are questions that should have been directed to IGP, DCI, DPP and even TISS. These are questions of law and order; If I were an opposition leader I would have put pressure on these organs and if necessary put pressure on the Prime Minister... even force his government to resign.
Eeenh, aiseee! Hivi binaadam kwa nini huwa tunapenda kujisahaulisha hivi? Au nisiseme kujisahaulisha, bali "kukana" na yasiyokuwa rahisi kuyakana, na wakati huo huo tukiamini kabisa kwamba kukana kwetu kutawafanya na wengine wayaone kama tunavyoyaona kupitia kwenye darubini zetu?

Hawa uliowataja hapa, kweli unaamini hiki ulichokiandika hapa?
 
And w

Yaani usalama wa maisha ya raia rais haimuhusu?
 
As good as they can be, we should not be losing the track of bigger issues. Tulikuwa na utawala ovyo sana, wengi hapa jamvini tulikuwa tunalalamika. Mwanakijiji ulikuwa ni mmoja wa watu uliyetajwa hata Bungeni na Eddo baada ya wewe mwenyewe kuanza kukosoa ule uozo, tukiangalia ule usanii na hali ya sasa kuna u-turn kubwa. Sasa watu wanaanza kuchagua vijambo ambavyo ni vita ya wanasiasa kwa wanasiasa ambao hapa bongo hata hawafiki milioni moja na kuwa issue kubwa, na kutusahau sisi wananchi milioni +50..... 10 Tundu Lissu's VS 50M Tanzanians, 10s "terrorists" VS 50M Tanzanians, Rallies VS prosperity....these can be questions as well.
 
Miaka 50 ya utawala wa chama chake na yeye akihudumu kama waziri kwa sehemu kubwa hakukuwa na kazi zinazoenekana kwa macho bali nyingi ni za kufikirika?
Ni kazi zipi hizo za kuonekana kwa macho zinazoitofautisha sana Tz ya mwaka 2015 na ya sasa 2019?

Mkubwa swale zuri sana. Chama chake ... ni point nzuri. Alikuwa waziri ndani ya serikali ya chama chale....pia swali zuri. Ila ukiangalia Tanzania ya kabla yake na ya sasa kuna mengi sana yamebadilika. Tukikuwa na ndege ngapi 2015? Tulikuwa na dawa za kulevya kiasi gani mwaka 2015? Tulikuwa na zahanati na vitro via afya vingapi 2015? Tulikuwa na ubabaishaji kiasi gani maofisini 2015? Sisi tunaoishi uswahilini hata maji ilikuwa mgogoro wa mwezi mzima, lakini siku hizi walau tunapata mara tatu kwa wiki. Umeme wa mgao bado mkali kama zamani? .... makusanyo na mapato ya serikali yalikuwaje na yakoje. Ukiangalia ni chama kilekile, ni serikali ile ile, lakini tunaona mwelekeo tofauti kabisa wa utendaji....haya mengi yanajieleza.
 
As good as they can be, we should not be losing the track of bigger issues. Tulikuwa na utawala ovyo sana, wengi hapa jamvini tulikuwa tunalalamika. Mwanakijiji ulikuwa ni mmoja wa watu uliyetajwa hata Bungeni na Eddo baada ya wewe mwenyewe kuanza kukosoa ule uozo, tukiangalia ule usanii na hali ya sasa kuna u-turn kubwa. Sasa watu wanaanza kuchagua vijambo ambavyo ni vita ya wanasiasa kwa wanasiasa ambao hapa bongo hata hawafiki milioni moja na kuwa issue kubwa, na kutusahau sisi wananchi milioni +50..... 10 Tundu Lissu's VS 50M Tanzanians, 10s "terrorists" VS 50M Tanzanians, Rallies VS prosperity....these can be questions as well.

Na hili ndilo kosa kubwa sana linaloendelea nchini sasa hivi. Kuna watu ambao tunawaita "elite" ambao kwa kweli wanakesha kujionesha kuwa ni bora zaidi. Nina uhakika huku chini kuna watu leo wanashukuru kuwa Magu ni Rais. Nimesikia kwa watu wengi sana kwa upande wangu. Na nimesikia wengi ambao wanakosoa na unaweza kuona ile sense ya "elitism". Magu kwao ni mshamba, hajui kitu, na kila anachokifanya hakifai kwa sababu hazungumzi kama wao, hayuo complicated or even polished.
 
And w

Yaani usalama wa maisha ya raia rais haimuhusu?

Ukizungumza kwa ujumla vinamhusu; lakini ukiweka kwenye perspective ni kuwa kuna vitu vinaenda ngazi kwa ngazi. Kama Rais atakuwa anafuatilia kila kinachotokea chini si mtasema hawaachi watendaji wake wafanye kazi? Hivi, umewahi kujiuliza kuna watu wangapi wamepotea Tanzania tangu Magufuli aingie madarakani; yaani watu ambao wametoweka na haijulikani walipo? Ni lazima tujifunze kuwawajibisha wanaotakiwa kuwajibika. Nitakupa mfano, suala la Lissu lilikuwa ni suala ambalo lingeweza kuondoka na waziri; lakini watu wakaanza kuubwakia mti usio. Watu wakapuuzia. Inapofika mahali unamnyoshea kidole Rais ni lazima uwe umevuka huku kwingine kote...

Watu wamesahau kabisa kwanini nilikuwa nawakoromea kina Lowassa, Prof. Msolla, RO na wengine... watu hawajifunzi au wamesahau.
 
Eeenh, aiseee! Hivi binaadam kwa nini huwa tunapenda kujisahaulisha hivi? Au nisiseme kujisahaulisha, bali "kukana" na yasiyokuwa rahisi kuyakana, na wakati huo huo tukiamini kabisa kwamba kukana kwetu kutawafanya na wengine wayaone kama tunavyoyaona kupitia kwenye darubini zetu?

Hawa uliowataja hapa, kweli unaamini hiki ulichokiandika hapa?
Absolutely, I do. Wakati wa JK tulikuwa tunawang'ang'ania hawa watu na tukawawajibisha hata kama JK hakupenda. Au mmesahau kabisa ile "ajali ya kisiasa"? Tukimnyoshea kidole Rais basi iwe jambo ambalo ni airtight.
 
Ukizungumza kwa ujumla vinamhusu; lakini ukiweka kwenye perspective ni kuwa kuna vitu vinaenda ngazi kwa ngazi. Kama Rais atakuwa anafuatilia kila kinachotokea chini si mtasema hawaachi watendaji wake wafanye kazi? Hivi, umewahi kujiuliza kuna watu wangapi wamepotea Tanzania tangu Magufuli aingie madarakani; yaani watu ambao wametoweka na haijulikani walipo? Ni lazima tujifunze kuwawajibisha wanaotakiwa kuwajibika. Nitakupa mfano, suala la Lissu lilikuwa ni suala ambalo lingeweza kuondoka na waziri; lakini watu wakaanza kuubwakia mti usio. Watu wakapuuzia. Inapofika mahali unamnyoshea kidole Rais ni lazima uwe umevuka huku kwingine kote...

Watu wamesahau kabisa kwanini nilikuwa nawakoromea kina Lowassa, Prof. Msolla, RO na wengine... watu hawajifunzi au wamesahau.

The buck stops with the president. In the countries where the lives of citizens are at stake normally the president works hard to make sure his people are safe and follows closely to make sure that people are safe, we have seen this whether it was a USA ambsssador in Benghazi, The Issue didn't end up with Madam Clinton, in fact Obama was being questioned and was providing detailed answers of the situation.
Whether it was African American victims of police shooting, President Obama was not remaining silent for FBI to handle the matter but he gave a statement on the issue.

So even here in our country, the biggest duty of the president is The Safety of People and their livelihood.
No way people could be abducted, dead people found on the sea shores awashed by water, a prominent politician being shot and then no Investigation What so ever on these matters or the president remaining mum as if it is not his duty but his subbodinates. No it doesn't work like that!. We Elected the President not the IGP nor the DG of TISS. We will ask the President whom we elected and he be the one to go ask the IGP or DG of TISS and then give us answers or Command them to give us answers. You know very well about the chain of command right?, the IGP and DG of TISS are tools of the president to ensure our safety and security, So we are not asking the tools we are asking him, a person whom we Elected, he is the one we put in the office!

This is not the issue of bureaucratic responsibilities, It is about the Security and Safety and Lives of the People of the United republic of Tanzania, and we are asking the president whom we put in the office, So let him provide us with answers or if he doesn't want to talk he should order those he chose to help him on these matters to provide answers to us.

USIMKWEPESHE RAIS KAZI YAKE AMBAYO NI USALAMA WA NCHI NA WATU WAKae
 
"---assertiveness" versus "aggressiveness". I am inclined to agree with you on this.
Now, tell us, in your understanding of the two words, which word closely defines the intended subject? Once you do that we can then discuss the validity of the choice of the word based on how we know the subject's character.
sharon anthony bower: the basic difference between being assertive and aggressive is how our words and behaviour affect the rights and well being of others.
being aggressive means selfishly pushing for what you want at the expense of other people. in doing so, you generate a host of negative behaviours that make people become angry and vengeful towards you. it may involve hostility, blaming, threats, gossip, and unreasonable demands. aggressiveness may allow you to achieve your immediate objective, but it also guarantees that you will not have what you want the next time.
assertiveness means standing up for your rights while respecting the rights of others. being assertive means appropriate expression of your feelings, needs, and opinions while respecting the feelings of others. it is communicating what you really want in a clear way while ensuring that you are not being taken advantage of.
 
Back
Top Bottom