Fossfa & linux admin trainers

dcube2d

New Member
Sep 9, 2011
3
0
ICT4TD Learning Centre ni centre ambayo imejikita zaidi katika maswala ya kuelimisha jamii hasa vijana katika maswala yanayohusiana na Technohama kwa ujumla.Centre hii imebase zaidi katika kufundisha kwa kutumia zaidi Linux Software.Linux inapendwa zaidi na sasa hivi iko juu ukilinganisha na Proprietaries Software.Kozi mojawapo ambayo tunaifundisha na ambayo ni International recognition ni LPI.(Linux Professional Institute) ni kozi nzuri sana hasa kwa wale ambao wako zaidi kwenye ICT.Wote ambao ni Linux Lovers.mfano System/Network Administrator n.k
ni masomo mazuri sana kuliko na unapohitaji kufanya mitihani ya Linux ni zahisi sana kukaa katika wiki mbili za matayarisho na wenzako wengine kutoka Africa yaani East and Central Africa au hata southern Africa.
Mwezi uliopita walikuwepo watu 26 kutoka Tanzania,Kenya,Uganda na Ethiopia ambao walifanya mitihani ya LPI -1/2 na idadi kubwa waliweza kufaulu.Mwezi November Itafanyika nyingine nchini Uganda kuanzia 26th November 2011 ukiingia kwenye .
Home - ICT4TD Learning Centre tafuta sehemu iliyoandikwa blog ukifika hapo na kufungua Bonyeza FOSS4LIFE UTAKUTANA NA ict@innovation .Utapata material lukuki.Hakikisha unajisajili hapo kwanza ndipo utakubaliwa kuingia kwenye Blog.Lakini tutaendesha course hiyo hapa katika centre yetu ili kujifua vizuri kwa wale wanaojua Linux au kwa wale wageni wasiojua lolote.Sio lazima uwe mtu wa ICT.hapana.Kuna mifano mingi tu utakutana nayo ambayo ipo kwa watu ambao hawakuwa wataalamu wa ICT lakini leo ni wajariamali wakubwa kupitia FOSS.
Mwenyekiti au Rais wa FOSSFA Africa ni mmoja wa watu hao. FOSSFA ( Free Open Source Software Foundation For Africa)
Free Software and Open Source Foundation for Africa
ukiwa mwanachama kuna mambo mengi sana utajifunza na pia kuna uwezekano mkubwa sana wa kuhudhuria IDLELO 5 ( is a biennial conference for FOSS practitioners, developers and advocates, as well as governments, to chart a way forward for an African future grounded in true ownership of technology)
Kwa maelezo zaidi angalia Home - ICT4TD Learning Centre jisajili kwanza kisha angalia about us kwa maelezo zaidi au utuandikie.Tunakaribisha Maoni.Karibuni sana.

Nm





[h=1][/h]
 
hii ni njema jamani sema kwa vile watanzania wengi hatupendi kujielimisha kwa kuthubutu kupata vitu vipya tunabaki nyuma.Mwezi wa tano kulikuwa na e-learning for africa na watanzania hatukushiriki kabisa.Walikuwa wengi ni wakenya wanaigeria,waghana n.k na wazungu tu na mwenzetu Generali ulimwengu na Feroz walitoa mada nzuri sana zilizopendwa sana na wengi lakini Watanzania hawana habari.
Tukubali kufundishika kwani soko litatuzunguka pasipo Technologia.Vipi wasomi wa vyuo vikuu tunasemaje kuhusu kuhakikisha tunamshauri Rais na viongozi mbalimbali jinsi ya kupunguza gharama za kununua leseni za software na kukubali kutumia software huria ambazo zinaaminika kote duniani na ziko na security nzuri.Ukitumia FOSS umejikomboa.Mimi nalijua asante sana mtoa mada
 
jamani wana ICT tuko wapi.Tunapaswa kuchangamkia haya mambo kwa kuingia kwenye mtandao huu ili kuona wenzetu wanasemaje.Tunahitajika wengi tujifunze Linux.Unajua mfano aliyejifunza linux na akaweza kuandika program mbalimbali na zinazowasaidia wengi Mfano TCU leo ni mkombozi wa wengi na ile ni Linux kabisa
 
Kweli kabisa kwani Watu hawajaelewa kama technology inaadvance kwa kasi sana and People need to rgo hand by hand, foot by foot, kuwa karibu kwani iwakuwa Profitable kwetu pia.
Visit
HTML:
<a href="http://ict4td.webs.com/> ICT4TD Learning Centre</a>
Na ujifunze mengi chungu mzima...
 
Back
Top Bottom