Forum hii inatuwezesha basi tubuni miradi ya kuwezeshana

sento

Member
May 20, 2012
11
1
Jamani hii forum inatuwezesha kwa kweli hata mtu ukihitaji
mchango kwa wanajamii wewe ingiza maombi yako hapa na
namna ya kupokea mchango kwa wale watakao kubali kukuchangia.
 
miradi ya kuwezeshana ipi?
Kama unataka idea nenda jukwaa la biashara,utapata mwanga kidogo,ufanye nini,au unaweza kubahatisha kukuta mtu anazungumzia biashara unayotaka kufanya.

Kama kuwezeshana kwa style ya vikoba mmmmmh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom