DellaPina
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 1,010
- 3,457
its Nico Roseberg he worked hard ila kwangu hii ni mercedes doin to isingekuwa mechanical failure ya LH in spa tungekuwa tunaongelea mengine
Mkuu siyo SPA tu tatizo kubwa lililomuua Lewis ni malaysia.mwaka huu pia amepatwa matatizo ambayo kwenye formular one yanakucoast mwisho wa msimu.sekunde moja kwenye formular one ni nyingi sana na inabadilisha matokeo.Hamilton akaze buti tu nafasi ipo ila siyo fair kwa mercedes mara zote. Kama umeona leo team radio leo wote wanamlaumu Hamilton eti alikuwa anaendesha gari slow ili wakutane karibu na wale wengine.