Former TRA board member: President may have erred

Kuweka pesa ya umma BOT siyo amri ya Rais Magufuli Bali ni matakwa ya kisheria ya BOT Act of 2006 na Rais Kikwete ndiyo alisaini.Rais Magufuli anafuata sheria tu.
Kama hivyo ndivyo, ni jukumu la wabunge kuipitia upya sheria hiyo kuona kama ina tija kwa taifa, kama haifai ifanyiwe marekebisho ama ifutwe kabisa.
 
We have a presida who is professional to everything ,, he must be genius !!but his approach to our economy will never help but bring more burden to the people and collapse of economic firms!
 
Serikali inatunga sheria ili kuzitekeleza na kama ktk utekelezaji wake unaleta shida kwa jamii ni wajibu wa wadau kuilalamikia sheria hiyo aidha ifute au ifanyiwe marekebisho.
Sheria zenyewe ni administrative tu ata Dr Mpango kwa mamlaka yake kama waziri anaweza tunga au badilisha kwa kupitia secondary legislation kama lengo ni ufanisi wa kazi za administration bila ya bunge.
 
Kama kikwete alisaini mbona hakuitekeleza? unajua kwanini wakati yeye ndio aliyoisaini? Kabla ujajibu kumbuka kwamba kikwete ni mchumi na JPM ni mkemia.
Ndio maana anasemaga,hakili za kuambiwa changanya na zako.

Tatizo lake huyu bwana anang'ang'ana na kutaka kuludisha mfumo wa ujamaa,ataendelea kututesa na hicho anachokitamani hakitawezekana.
 
Acha Uongo Mkuu. Management of funds is under the Commissioner General and not the board.

COMMISSIONER-GENERAL, OFFICERS AND STAFF 16.-(1) The President shall appoint a Commissioner-General of the Authority on the recommendation of the Minister. (2) The Commissioner-General shall hold office for the period of five years and shall be eligible for re-appointment unless he sooner dies or resigns or vacates or is removed. (3) The Commissioner-General shall be the chief executive officer of the Authority and, subject to the general supervision and control of the Board, shall be responsible for the day-to-day operations of the Authority, the management of funds, property and business of the Authority and for the administration, organisation and control of the other officers and staff of the Authority. [(4) The President may, after the recommendation of the Minister, terminate the appointment of the Commissioner-General for – (a) misbehaviour; (b) the Commissioner General's inability to perform the functions of his office; or (c) any other sufficient cause. (5) The Commissioner-General may, subject to this Act and to any general or specific directions of the Minister or of the Board, delegate any or all of his functions in relation to a revenue law, to a Revenue Commissioner or any other Commissioner or officer. (6) Subject to any express direction by the Commissioner General to the contrary, any of the powers and duties of the Commissioner General under this Act may be exercised by any officer authorized in writing in that behalf by the Commissioner General.
Hujui naongelea nini mkuu hapo,usipende kutoa negative comment ktk issue ambayo hujaielewa.

Sijaongelea Management of fund hapo.Nina maana kuwa Board ni oversee wa TRA Management.
 
Hujui naongelea nini mkuu hapo,usipende kutoa negative comment ktk issue ambayo hujaielewa.

Sijaongelea Management of fund hapo.Nina maana kuwa Board ni oversee wa TRA Management.
Huenda wewe ndo hujui unachokiongelea. Mara ya kwanza ulidai huyo member hajui majukumu yake. Mwandishi alizungumzia kuwa Mwenyekiti wa Bodi hana mamlaka juu ya mambo ya fedha. We ukaja kupingana,nikakuletea kifungu cha Act ya TRA. Sasa unakimbia tena.
 
Serikali inatunga sheria ili kuzitekeleza na kama ktk utekelezaji wake unaleta shida kwa jamii ni wajibu wa wadau kuilalamikia sheria hiyo aidha ifute au ifanyiwe marekebisho.
Na huu ndio mwanzo wa kuilalamikia!
 
View attachment 440443

May b Ndalichako has a point maana huyo mkosoaji Mr Kandege ana master ya management lakini akupitia A levels kazunguka zunguka tu; lakini ndio kiasi cha kushindwa kuelewa a long heirachial structure ya kutoka kwa raisi, waziri mpaka TRA
Hiyo managerial skills pamoja na functions za boards husomi form six ila unasoma unapofanya Masters ya Business Administration. Kwa hiyo Mbunge yupi sawa. Kenya wapo vizuri sana kwenye nyanja karibu zote lakini wanatoka form 4 then University.
 
Kuweka pesa ya umma BOT siyo amri ya Rais Magufuli Bali ni matakwa ya kisheria ya BOT Act of 2006 na Rais Kikwete ndiyo alisaini.Rais Magufuli anafuata sheria tu.
Hata kama ni sheria, lakini kuziondoa fedha zote katika bank binafsi kwa mara moja napo ni kukosea zaidi ya sana kuliko hiyo sheria yenyewe.

Nini kinatokea katika ma-bank na kwenye biashara kwa sasa na kimesababishwa na nini?

Kuna watu wanafanya vitu ili jamii ya kiafrica ionekane ni jamii isiyojiweza kwa lolote. Naona hii ni HUJUMA na tunajihujumu sisi wenyewe.
 
Magufuli sikiliza wachumi,utawekaje fedha BOT huku hazizalishwi? kwanini usiweke kwenye bank zetu sirikali ipate faida na huku mzunguko wa fedha ukiongezeka? Hapo serikali itapata kodi nyingi kutokana na mzunguko mzuri pia faida kutokana na kuweka fedha bank.
Kwani serikali imejikita kufanya biashara kiongozi.
 
Kama kikwete alisaini mbona hakuitekeleza? unajua kwanini wakati yeye ndio aliyoisaini? Kabla ujajibu kumbuka kwamba kikwete ni mchumi na JPM ni mkemia.

Wachumi wanashauri na kusema kichumi uwekezaji wa deposits sio kosa na ni kichocheo cha ukuaji uchumi.

Mkemia anasema ni kosa na hataki wala kupenda kufungua fungua ma - dipositi akaunti ktk mabenki ya biashara kwa hela za serikali yake!!

Sasa hapa sijui tutegemee nini tu; "MARKET/ECONOMIC RAECTION" au "CHEMICAL REACTION?"
 
We have a presida who is professional to everything ,, he must be genius !!but his approach to our economy will never help but bring more burden to the people and collapse of economic firms!
No matter how genius you may be! No matter how professional you may become you will never comprehend anything to the perfection if you think you are the most correct one
 
By Deogratius Kamagi @Deogratiuskamagi dkamagi@tz.nationmedia.com


Dar es Salaam. Recently, President John Magufuli dissolved the Tanzania Revenue Authority (TRA) board and sacked its chairman on the grounds that it approved the depositing of Sh26 billion in fixed deposit accounts in three different banks.

Reacting to the news, a former TRA board member says the President may have erred because the mandate on how TRA money should be managed rests on its management and not the board.

Mr Josephat Kandege, who resigned from the board eight months ago due to conflict of interests, told The Citizen yesterday that the Board has nothing to do with financial management and day to day activities of the Authority.

He said such transactions, which involve banking and withdrawing of funds are being done at the managerial level.

Mr Kandege, who is also a Member of Parliament for Kalambo constituency (CCM) in Rukwa Region, said: “It should be clear that the Board of Directors has nothing to do with managerial transactions. It has no mandate to suggest on internal expenditures.”

Mr Kandege resigned from the Board in April this year after being appointed a member and vice chairman of the Parliamentary Budget Committee. Among other things, the Committee supervises TRA operations and the minister for Finance is also among those who are answerable to the Committee. However, when reached for comment, the Commissioner General of TRA, Mr Alphayo Kidata, declined to comment saying he could not say anything on something that the President has made a firm decision about.

On a different note, though, former Kigoma South MP David Kafulila expressed doubts that the formation of a new board may bring the expected changes at TRA because some of the sacked members would return to the board.

“There are those who become members by virtue of their positions. Since they are still holding those positions, they will automatically become members of the new board,” he clarified.

According to the TRA Act of 1995 the Authority’s board chairman is a presidential appointee based on recommendations of the Finance minister.

Members who are included by the virtue of their positions are the Governor of the central bank, TRA Commissioner General as well as permanent secretaries of ministries of Finance for the Union and Zanzibar governments. Mr Kafulila said the decision to dissolve the board have sent home a minority members (appointees of the Finance minister) who probably had no power to dictate the resolutions of the board.

“The new board will not change anything because already there is big number of senior government officials, whose positions guarantees their membership despite the fact that they were sitting in the just dissolved board,” he argued.

Iringa Urban MP Peter Msigwa (Chadema) said the decision would not be complete if the TRA management would not be sacked as well.

“Disciplinary measures should also be taken against the TRA management itself as they were the first to suggest on the action, with a full understanding that it was against the government stand,” he argued.

For his part Kigoma Urban MP Zitto Kabwe said the government should not play the role of the banks adding that it was wrong for it to direct all the money from public institutions to the central bank.

“The central bank doesn’t lend but commercial banks do. Any sensible economist will never support what the government is doing now and these measures will not survive longer,” he said

According to him, there is no law that has been broken by TRA board and its management, saying the directive by President on fixed deposits by public institutions was wrong sensibly. “I think the President and his government shall continue to pursue anti corruption drive and ensuring that taxes are being paid. Where TRA keeps money is so minor an issue,” he noted.

Queries on sacked TRA board

SOURCE: THE CITIZEN
Sikubaliani kabisa Na weledi wa Uchumi wa Mh Zitto Kabwe, Hakuna Uchumi unaotaka Hazina ya taifa kutunzwa Na mabenki ya biashara ya kibepari. Ningekubaliana Na wewe Kama tu mabenki hayo yangekuwa Na uwezo wa kuhamasisha uwekezaji Tena wandani. Si kazi ya Serikali kuyapata mitaji mabenki. Ndio maana haya Kuwa Na sababu ya kuifanya kazi waliyokabidhiwa ya kutafuta Na kushawishi wakopaji. Hakuna kazi products zote zinafanana interest rate Za ajabu Kwa Kuwa wana Mtaani wa bure toka central bank. Hawana sababu ya ku take risk Kwa Kuwa gov ni secured collateral, hawezi kukopesha Kwa interest rate ya 22% labda Kama unafanya biashara ya madawati ya kulevya, Nyara Za Serikali Na kukwepa Lodi big time. Hizi bank hazijatusaidia lolote zaidi ya mikopo ya mafriji Na tv. Lakini balance sheet zao zilikuwa ni Kama Christmas kila siku. Ndio maana Leo Zina collapse, they shoulda have gone long time wamebebwa bebwa tu Na kusifiwa hata Kuitwa super brands wabashundwaji ku survive Kama kweli wanaijua kazi Yao. Wamekopesha wasiostahili, wageni wawekezaji wasio Na mitaji, wameingiza Siasa kwenye Uchumi,usiwatetee waulize mitaji Yao wamepeleka wapi?

Kuhusu Ndugu Kadege, nashangaa sana kusikia eti board imeonewa Kwa Kosa la Kidata Na Management Yake? Sasa hawa wajumbe wa board wanaijua kweli manateuliwaje Na wanafanyaga nini huko kwenye boards. Sijawahi Kuwa Mjomba wa board ya TRA wala chombo chochote cha Serikali, lakini ni Mjomba wa board Nyingi tu Na nimeshaunda board Kadhaa Na hicho Mjomba anachokisema Ndio exactly the basis of any functioning board, to police the management. Sasa Ndio Naanza kuelewa Kwa nini Raisi analazimika ku micro manage
 
Kama hivyo ndivyo, ni jukumu la wabunge kuipitia upya sheria hiyo kuona kama ina tija kwa taifa, kama haifai ifanyiwe marekebisho ama ifutwe kabisa.
Kwa wabunge waleee watafanya kama ile ya milioni 10
 
Hata kama ni sheria, lakini kuziondoa fedha zote katika bank binafsi kwa mara moja napo ni kukosea zaidi ya sana kuliko hiyo sheria yenyewe.

Nini kinatokea katika ma-bank na kwenye biashara kwa sasa na kimesababishwa na nini?

Kuna watu wanafanya vitu ili jamii ya kiafrica ionekane ni jamii isiyojiweza kwa lolote. Naona hii ni HUJUMA na tunajihujumu sisi wenyewe.
Nadhani hapo ndiyo kwenye changamoto, na tulitegemea ushauri wa kitaalam kuhusu uchumi na fedha uangaliwa vizuri katika kutekeleza sheria hiyo ili kutoathiri daily financial economy activities kwa jamii.
 
Hiyo managerial skills pamoja na functions za boards husomi form six ila unasoma unapofanya Masters ya Business Administration. Kwa hiyo Mbunge yupi sawa. Kenya wapo vizuri sana kwenye nyanja karibu zote lakini wanatoka form 4 then University.
Knowledge wise in terms of qualification at level three mtu anatakiwa akimaliza awe na uwezo wa ku apply range of necessary information (research) kwenye kujenga hoja; nchi kama uingereza hakuna la ziada wanaweza kukuongozea tena kwenye elimu. Unapoenda above levels ni kwamba unaenda ku specialise tu lakini skills za kufanikisha hilo lengo utatumia zile zile ulizopata A levels.

Na kwenye management usomi functions za board labda meaning ya board at whatever level kwa sababu powers zao and decision making processes varies in line with company policies or laws kwengine utakuta chief executive ndio mtoa agenda za shirika board wao kazi yao kuzi challenge au kurekebisha tu kasoro kabla azijafuatwa. Alikadhalika sehemu zingine board ndio ina set agenda kama TRA na commissioner anafuata; kwa hivyo kama unasoma management utasoma decision making roles at different levels and the type of decision which can be made.

With that knowledge a person with MBA is supposed to understand the long hierarchical structure ya serikari na agenda ya raisi strategically aina mpinzani kwenye decision making ndani ya mhimili wa serikari.
 
Back
Top Bottom