kilalile
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 1,595
- 2,205
Kama hivyo ndivyo, ni jukumu la wabunge kuipitia upya sheria hiyo kuona kama ina tija kwa taifa, kama haifai ifanyiwe marekebisho ama ifutwe kabisa.Kuweka pesa ya umma BOT siyo amri ya Rais Magufuli Bali ni matakwa ya kisheria ya BOT Act of 2006 na Rais Kikwete ndiyo alisaini.Rais Magufuli anafuata sheria tu.