Former Churchill show comedian Francis Onono aka "Brigeddia General" at last graduates from US Army

Mac Bully 001

JF-Expert Member
Jun 26, 2012
6,538
13,001
Former Churchill show comedian Francis Onono aka "Brigeddia General" at last graduates from US Army.
On 2nd of April he graduated at Fort Sill, Oklahoma 1-31 Bravo Battery, 434th Field Artillery.
DREAMS COME TRUE! Kudos comrade!

Frank-Onono.jpg
Onono.jpg
 
Picha ikwapi? Kingereza sijui mimi ila nikiona picha nitaelewa ulichoandika, hata ukuweka picha ya basi likiwa kibera poa tu
 
Picha ikwapi? Kingereza sijui mimi ila nikiona picha nitaelewa ulichoandika, hata ukuweka picha ya basi likiwa kibera poa tu
Picha haziekeki sahi, sielewi nn mbaya na jf yangu. Nitaweka ikirudi sawa
 
Former Churchill show comedian Francis Onono aka "Brigeddia General" at last graduates from US Army.
On 2nd of April he graduated at Fort Sill, Oklahoma 1-31 Bravo Battery, 434th Field Artillery.
DREAMS COME TRUE! Kudos comrade!
Ni mwanajeshi toka kitambo
 
Nani amekuambia kwamba yeye ni commusioned officer? Yeye nadhani ni non-commisioned officer. Yaani wale watu wa mikono. Lakini hongera kwake. Mshahara ya kuwa mwanajeshi USA ni nzuri sana.
Na ndomana nikauliza military academy kubwa US ni west point sasa yy kachukua mafunzo ya ya kiofisa mana Military academy nying zinatoaga ma ofisa tuu na sio ma other ranks....
 
Yani atakuwa deployed sehemu kibao za vita duniani...
Sio lazma za kivita, jeshi la Marekani lina kambi zaidi ya mia tatu sehemu tofauti duniani. Afghanistan na Iraq ndio wako kidogo na bado wanapunguzwa sababu ya taratibu zao za kimakubaliano. Kuna wanajeshi wanatumwa hadi Saudi, Russia, hapa Afrika, yaani kusaidia tu kwa training na kadhalika, wametulia hadi siku zao za kurudi, wengine wapelekwe. Wanazungushwa sana hii dunia, ndio raha ilipo sasa kando na kuwa utakaa mbali na familia mda mrefu. So usione ati ukiingia jeshi basi ni vita tu.
 
Na ndomana nikauliza military academy kubwa US ni west point sasa yy kachukua mafunzo ya ya kiofisa mana Military academy nying zinatoaga ma ofisa tuu na sio ma other ranks....
Yeye sio officer, officer's wanatoka academies, na huwa wameingia huko since wakiwa 17yrs old hadi wanapokuwa waki graduate wakiwa na 25yrs hivi huwa tayari kwa commissioning. Na kuingia academy hadi utume application na ukuwe selected na member of senate wa pahala unapoishi. Foreign countries wanapewa ruhusa kujiunga lakini nchi zao ndio hungaramikia kila kitu chao, labda wapate msaada kidogo kwa beberu.
Sasa huyo jamaa hapo ashakuwa citizen, so ni army wa kawaida. Si ati alienda huko kusoma ndio arudi ke, hapana. Huyo Mwamerika na wako wengi tu kama yeye wazaliwa wa Afrika lakini Citizen wa nchi za nje wafanyaji kazi jeshi za huko.
 
Back
Top Bottom