Formatting Removable Drive - Msaada

cabhatica

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
1,081
480
Wadau,

Nimekuwa natumia removable disk drive, ghafla ikapoteza mawasiliano (nikichomeka naambiwa the disk is not formatted) niki-format naambiwa 'Windows was unable to complete the format'

Je kuna uwezekano wa ku-recover hii drive au ndo imeshakufa nilale mbele?

Ushauri tafadhali.
 
Hiyo tayari imekorapti so you better go to nearest shop and buy a new one coz to perform recovery to that device is impossible
 
upo tayari kwa command line mkuu! Wala usiitupe kama unajali
 
Embu weka mkuu..hata yang nashangaa nikifungua inaleta mafile tu ndan ambayo sijui yametoka wap!! Na haifany kaz..embu weka maujanja wenda tukasaidika weng!!
 
Hiyo tayari imekorapti so you better go to nearest shop and buy a new one coz to perform recovery to that device is impossible

Mbona WAHEED SUDAY anataka kuweka ma-command hapa, ngoja tumsubiri. Tutanunua ngapi kwa staili hii?
 
Sorry wakuu si unajua si wengine tunaingia mara moja kwa siku huku jf kutokana na majukumu, haya twenden sasa
kwanza fungua command line as administrator kisha piga command zifuatazo zenye herufi kubwa kama zilivyo(hakikisha usb flash yako imechomekwa kwenye usb port)

DISKPART
LIST DISK (hapa itakuonesha disk zote zilizopo kwenye pc na ukubwa wake, angalia kama usb flash imesomwa)
SELECT DISK n (n=number ya usb flash yako unayoformat, hakikisha unajua ukubwa wa usb flash yako itakusaidia kuchagua kwenye command hii)
CLEAN
CREATE PARTITION PRIMARY
SELECT PARTITION 1
ACTIVE
FORMAT FS=NTFS
(hapa itaanza kuformat kwa asilimia, iache hadi ifike asilimia mia moja 100% na ikuletee sehemu ya kuendelea)
ASSIGN
EXIT
note: andika kwenye command line hayo maandishi makubwa tu, hayo mengine ni maelezo muhimu achana nayo, baada ya kumaliza hizo command unaweza kuiformat kama kawaida, kumbuka kuwa kwa kufanya hivi tayari usb yako ni bootable unaweza hata kuifanyia live disk kufangizia os mpya
Cc: cabhatica, LORDVILLE, stephot
 
Last edited by a moderator:

Mkuu WAHEED SUDAY nimejaribu lakini ni Disk 0 tu inatokea nyingine haionekani. Shall I give up?
 
Nashukuru sana mkuu, nilikuwa na tatizo hilo, sasa nimefanikiwa kupitia maelezo yako mazuri. Asante sana, LONG LIVE JF.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom