Format ya talaka (devorce)

SURN

JF-Expert Member
Sep 5, 2011
319
36
Sio vizuri kutoa taraka au kupokea taraka, lakini kama yamekushinda format yake iko kwenye link hapo chini.
1) Bofya hiyo link
2) Juu kabisa ya hiyo link utakuta neno ''FAMILY''
3) Ndani ya FAMILY utakuta ''SEPARATION AGREMENT'' and ''PRENUPTIAL AGREEMENT''
4) Click kwenye ''separation agreement''
http://www.lawdepot.com/?pid=pg-BEUBTZDKS9-generaltextlink
 
Mkuu inaitwa talaka si taraka!!! Asante kwa taarifa ila kama unataka kuishi maisha ya amani ni kujitahidi sana neon, kutengana, kuachana, talaka kuwa katika kichwa chako. Kuna matatizo mengi sana yanayotokana na mambo hayo matatu pindi mnapoachana in any how.
 
Asante kaka nimekuelewa......kwenye red bila shaka ulimaanisha neno
 
Back
Top Bottom