Elections 2010 Form za kugombea uspika kuchukuliwa ofisi za CCM ni halali?

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
966
537
Makamba juzi alitangaza kuwa wote wenye nia ya kugombea nafasi ya uspika na unaibu spika wakachukue form hizo kwenye ofisi za CCM na gharama ya form ni sh. 500,000. Pia alisisitiza kuwa si wanachama wa CCM peke yao hata wale wa vyama pinzani waende wachukue form hizo kwenye ofisi hizo.
Swali ninalo jiuliza ni kuwa:
-Tangu lini CCM walipewa mamlaka ya kuhodhi nafasi ya spika na naibu wake?
-Kwa nini kazi ya kutoa form isifanywe na ofisi ya Bunge Dodoma chini ya katibu wa Bunge?
 
Nafikiri huu ni mchakato wa awali kwenye ngazi ya chama ili kugombea uspika mle mjengoni (kumbuka mwaka 2005 yaliyomkuta Pius Msekwa - ilikuwa ni ngazi ya chama) lakini sasa kuwaomba na wapinzani hii inatia shaka.
 
Back
Top Bottom