Form One kupimwa kama wanajua Kusoma, Kuandika na Kuhesabu - (kwa hiyo Form One = Kindergarten) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Form One kupimwa kama wanajua Kusoma, Kuandika na Kuhesabu - (kwa hiyo Form One = Kindergarten)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kichwat, Feb 7, 2012.

 1. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ...Elimu ya Tanzania sasa IMEKUFA RASMI.

  Waziri wa Elimu amethibitisha bungeni, tena bila kigugumizi wala wasiwasi kwamba wanafunzi WALIOFAULU kuingia kidato cha kwanza watafanyiwa kijimtihani cha kuwapima kama wanajua KUSOMA, KUANDIKA na KUHESABU (KKK).

  Cha ajabu zaidi ni kwamba Waziri haoneshi kwamba kuna tatizo katika process iliyosababisha ufaulu feki.

  WE ARE DOOMED!
   
 2. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ungemkumbusha ni process ipi hiyo.
   
 3. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,665
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Elimu ingekufa kwa kutokuwapima ili kupata uhakikia kuwa walifaulu kihalali ...... Kwani malengo ya Mtihani wa darasa la saba ni nini? sio hizo KKK??
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,696
  Likes Received: 2,785
  Trophy Points: 280
  Hii nchi inapelekwa tu shokomzoba,
  imebaki kuwa kama nchi ya kusadikika.
   
Loading...