Baraka Roman
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 692
- 262
Natoa ushaul kama kaka niliyeona jua mapema kwa wale wote wenye mawazo ya kurudia mitihan au wanaotatizwa na maamuz waende chuo au Advance..Chuo kina faida kwasababu zifuatazo
1.Akil yako itakuwa na utaanza kufikilia kiutu uzima tofaut na ukiwa advance utajiona bado mtoto
2.Utajifunza kile kitu ulichokuwa unakipenda na uhakika wakutimiza ndoto zako utakuwa mkubwa tofaut na ukiwa advance utafundishwa vitu ambavyo haviendan na huo udactar,uhasibu,uwanasheria ule unaouwaza kila siku na kumbuka kuna kufeli hapo
3.Utakuza sociar network b'se chuo unakutana na watu waliokutangulia kimaisha na wanajua mengi ya kimaisha tofaut na sekondary mtakutana na wanafunz tu ambao ni watoto wenzako
4.Ukiwa chuo haukatazwi kuwa na GF or BF,kuolewa au kuoa so nimuda wakupanga future kumbuka umli wa kuishi unapungua.
Kwa sababu hizo nawatia moyo wale waliokata tamaa baada ya kukosa sifa za kuingia A levo na wanaumia kwenda chuo kuwa chuo ni bora kuliko A levo.
NB:hii ni rasimu tu sio lazima uikubali.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums