Tetesi: Form 6 kufanya mtihani Februari kuanzia 2019?

Abuu Abdurahman

JF-Expert Member
May 9, 2017
1,447
1,770
Habari zenu wanajukwaa

Kunahabari zimeenea hivi karibuni kuwa kuanzia 2019 form 6 watafanya mitihani yao mwezi wa pili(February) badala ya kufanya mwezi wa 5(May) kama wanavyofanya sasa...
Naomba tujuzane kuhusu ukweli wa tetesi hiyo!!
Natanguliza shukurani ..
Karibuni kuchangia mada
 
Kwani huwa wanafanya may?

Tangu lini?
Niko nyuma ya wakati
 
Habari zenu wanajukwaa

Kunahabari zimeenea hivi karibuni kuwa kianzia 2019 form 6 watafanya mitihani yao mwezi wa pili(February) badala ya kufanya mwezi wa 5(May) kama ilivyozoweleka....
Naomba tujuzane kuhusu ukweli wa tetesi hiyo!!
Natanguliza shukurani ..
Karibuni kuchangia mada
Sio kawaida kufanya mitihani mwezi May, ilibadilishwa tu miaka ya juzijuzi, sie tuliikuta hio februari na ilikuepo miaka mingi nyuma
 
Sio kawaida kufanya mitihani mwezi May, ilibadilishwa tu miaka ya juzijuzi, sie tuliikuta hio februari na ilikuepo miaka mingi nyuma
Basi waliibadilisha baadae, na mpaka form6 wa mwaka huu mtihani ni mwezi wa 5
 
MBONA TANGU KITAMBN TUNAFANYA FEBRUARY, SEMA WANARUDISHA NA HLI NDILO WANALOWEZA VIONGOZ WETU KTK ELIMU
1. kubadilisha tarehe
2. Kujustify madaraja kisiasa
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom