Forgiveness..? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Forgiveness..?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Mar 24, 2009.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Mar 24, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nauliza tu

  Hivi ni kwa nini huwa ni ngumu kwa wanaume walio wengi kumsamehe mke pale anapomgundua kuwa anacheat ila kwake anataka asamehewe kama vile ni haki yake kusamehewa?

  Je ni kweli kuwa mke aloolewa hana haki ya kumwacha /kumpa talaka mumewe akimfumania? Mie sijawahisikia mwanamke kamwacha mumewe kwa kosa la uasherati ila wanaume wengi tu tena kwao huwa ni rahisi utasikia ah jamaa si kacheat ndo mana kaachwa.

  Je ndivyo mlivyokina kaka?
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  THAT IS THE NATURE OF LIFE MY SISY!
  it goes that way AUTOMATICALLY!just go back to some many years back,YOU WILL FIND THE SAME TYPE OF LIFE,and the situation was even WORSE!infact the same thing is prevailing IN A MODIFIED FORMAT
   
 3. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  mwanamke ukikutwa ujue ndio njia ya kwenu inakuhusu, na aibu/kashfa kibao! na hata mwanaume akiamua kukusamehe atakusamehe kinafiki tu mkikwaruzana kidogo utaambiwa"ndio mana uli......." haa, wao ni atarudi home atakumbembeleza hapooo weee mchezo unasonga, mambo ya tamaduni sijui nisemeje.
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Mar 24, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Eeheee? kumbe kuna mengi siyafahamu kwa kweli kuhusu mahusiano ya mapenzi.
   
 5. I

  Ikena JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2009
  Joined: Oct 24, 2007
  Messages: 482
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 60

  Sababu ni moja yenye (a) na (b)
  (a) Kumbuka wanaume tunatoa, nyie mnapokea wakati wa kufanya matusi.
  (b) K ya mwanamke inapungua ubora/kongoroka kadiri inavyotumika wakati M*** za wanaume zinazidi kuwa imara mara dufu kadiri zinapotumika.Pia zinapaswa kupata uzoefu.
   
 6. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #6
  Mar 24, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Dada si ndo mana nkashangaa ila wao ni right yao kusamehewa!! Ama kweli hatuko sawa.

  Na bado nasikia hata ukimkuta juu ya kifua bado ni marufuku kukubali kosa!!

  Ama kweli wanatuoa na si tunaoana
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Mar 24, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hee!! Hii ni kali kwa kweli... eti....?

  I wish zingekuwa miche ya sabuni!!:mad:
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...inategemea na kosa ndugu, kuachana ni suala lingine. Kuna kiwango cha kusameheana hasa unapojiona kuna namna moja au nyingine umehusika kupelekea mwenzio ku cheat. Msije nitoa macho hapa!
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Mar 24, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ningeomba Mkuu unifafanulie vizuri maan a mie wengi nliosikia sikuwahi kumwona mwanamke alosamehewa baada ya kufumaniwa na mumewe ila wanaume waliosamehewa ni wengi ikiwemo mmoja aliyetembea na shemeji yake yaani mdogo wa mkewe na mwingine alifumaniwa na Housegirl kitandani kwa mkewe bado walisamehewa.
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Mar 24, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Simpo, mke ndie anaebeba siri ya mtoto kabla ya pirika za kupimana DNA hazijaanza. Sasa usamehe huku hujuwi mtoto ni wa nani, si kazi hiyo. Siku hizi kusameheana ni baada ya vipimo vya DNA siyo kabla.

  Kwa upande wa mume mara nyingi huku kwetu yeye ndio huwa bread earner, hako nako kanachangia kusamehewa, na in case mama ndio bread earner hapo misamaha huwa rare nadhani.
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Mar 24, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Mwanamke akifumaniwa anauchuna kimyaaaaaaa, hata mashoga zake hawajui... na kawaida ya mwanaume hajitangazii mitaani nimemfumania mke wangu... ndio maana huzisikii kwa wingi.

  ...exactly, kwakuwa wanawake wengi wanajiona kupaza sauti kila mtu asikie kafumania ndio deal... kama ule msemo,'...yao hawayasemi, ya wenzake mdomo juu!'

  soma posting nyingi humu, wanawake wengi ndio walio mstari wa mbele kulalama waume zao oooh nyumba ndogo, oooh, wamebadilika hawalali nyumbani...
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  Mar 24, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  In red nimeielewa ila ya juu yake sijazungumzia akizaa nje nope hata kama hajamimbiwa huko kwenye affair. Yaani kenda chovya kama vile wewe unavyochovya kwa galfriend wa pembeni
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Si lazima awe kazaa, utajuwaje kama kisha beba katoto tumboni?

  Afu, taadab, mie sina ka galfrendi wala kabibi ka nje, umri wangu hauni ruhusu hao anti zako wa halali wawili wananitosha, mabusuuutiii.
   
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  Mar 24, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ............. am thoriii sikumaanisha kuwa unae gal friend shemeji. Nithamee:)
   
 15. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  Kuna mziki fulani kila mwanaume anausikia kivyake..sasa akigundua njemba nyingine inapigiwa mziki ule ule au zaidi ya ule moyo watakachomoka hivyo suala la maridhiano linakuwa gumu
   
 16. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #16
  Mar 24, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Jamani kwani hata sie huo mziki hatuusikiliziagi?.... Inauma the same Ndahani ila inakuwaje ukigundua mimi manpa beat jirani ukatae kunisamehe na badala yake unaniwahisha Terminal haraka ila mie utegemee nikusamehe?
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Mar 24, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mi nilidhani wanawake huwa hawa cheat.....
   
 18. N

  Narumba Member

  #18
  Mar 25, 2009
  Joined: Jan 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tehe tehe tehe
   
 19. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Haaa! nani ka kuambia tena wa sasa ndo balaa asikuambie mtu...vishtobe juu juu kama break za honda! Na ndo maana kutokana na hio tabia ya eti mwanamme akifumwa asemehewe ila mwanamke la, imezua mambo kama hayo. Wanacheat kama hawana akili nzuri yani. Kazi kwenu wanaume...huruma kwa kweli.
   
 20. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  unajua picha anayoipata mwanaume akimfumania mkewe? anaimejin jinsi ambavyo huwa 'anamkandamiza' then mwanaume mwingine akandamize? hii inampa mwanaume uchungu na wivu sana
   
Loading...