Forget about Nairobi's Kenyatta teaching hospital, these are Kenya's county referral hospitals

Watanzania mwapenda kufananisha mambo na Kenya. Kenya ina priorities zake na Tanzania zake. Tanzania kwa vile bado ina 'Socialist emotions' ndipo bado inajali sana huduma za jamii. Kenya kwa vile kila mtu na lwake, inajali sana private sector.
Kenya pia kuna hospitali nyingi nzuri level ya Ulaya, ila ni binafsi.
Kwa vile Wakenya wengi, hasa waishio mijini, wana uwezo mkubwa kuliko Mtanzania anayeishi mjini, it makes economic sense kuendeleza private sector, as long as watu watalipwa kiasi kizuri cha mishahara.
Naona kila nchi inapambana na realities zake.
 
ati?
 
Back
Top Bottom