Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Naacha Kazi Kumanina!

Huu Mtego Niliutega Jana
View attachment 611268

Kitu nimejifunza katika maisha ukiamua kufanya kitu fanya, maana anayekwambia hakifai yeye yuko busy kukifanya nyuma ya pazia.

Sijui wangapi waliona forex ni utapeli kwa sababu yako na wakaiacha wakati wewe uko busy kuisoma!!

Guys ukiamua kitu fanya na usisikie ya watu!!

Umenikumbusha enzi hizo, watu wanasema mimi sisomagi kabisa alafu mtu huyyo huyo ukimvizia usiku unakuta amejikunja na kitabu!!

Anyways karibu sana arifu!!

Cc chakii jogi
 
Ajira mkuu, niwe hausiboy.
Tumezoea matumizi ya nguvu.
Kitu nimejifunza katika maisha ukiamua kufanya kitu fanya, maana anayekwambia hakifai yeye yuko busy kukifanya nyuma ya pazia.

Mwenzako alikua busy kuikashifu forex leo na yeye yuko mzigoni anapiga madolari!! Badilika mkuu...
 
317b57e5930a2e571a2b1808e40a919a.jpg

Now TMT is my home officially, Thanks Ontario
 
Ivi naweza anza na mtaji wa $ 90 ndugu mana akaunt nnayo Presda
Shida sio kuanza na dola tisin unaweza anza hata na dola kumi. Ila unachotakiwa kwanza ni kuwa kusoma na kuwa na moyo wa kusoma vitabu!!

Mind you hii sio biashara ya kupata utajiri overnight... Inataka moyo wa kujituma na UVUMILIVU WA HALI YA JUU...
 
Kitu nimejifunza katika maisha ukiamua kufanya kitu fanya, maana anayekwambia hakifai yeye yuko busy kukifanya nyuma ya pazia.

Mwenzako alikua busy kuikashifu forex leo na yeye yuko mzigoni anapiga madolari!! Badilika mkuu...
Naomba kibarua cha kulima bustani zenu, sinaga tamaa ya madolari wala mareale.
 
Kitu nimejifunza katika maisha ukiamua kufanya kitu fanya, maana anayekwambia hakifai yeye yuko busy kukifanya nyuma ya pazia.

Sijui wangapi waliona forex ni utapeli kwa sababu yako na wakaiacha wakati wewe uko busy kuisoma!!

Guys ukiamua kitu fanya na usisikie ya watu!!

Umenikumbusha enzi hizo, watu wanasema mimi sisomagi kabisa alafu mtu huyyo huyo ukimvizia usiku unakuta amejikunja na kitabu!!

Anyways karibu sana arifu!!

Cc chakii jogi
Mkuu una wen,ge sana. Hivi ni lazima kila mtu afanye ForeX/betting??
 
Back
Top Bottom