Mkuu usifananishe FOREX na vitu vya kijinga jinga.KARIBU TMT PALE JANGID PLAZA UPATE MAARIFA
Wahindi kweli ndo mana walikaa kimya unashangaa jioni wanazunguka na magari makali unajiuliza hawa wapiga mishe muda gani kumbe wengi wana trade, bora hao wanao kaa kimya tu saa nyingine unaleta kitu watu wanabisha pasipo kusoma au wanasoma juu juu damn, jaman mtuache tu tutapeliwe tu tumeamua, tahadhari wapeni wadogo zenu wanaowategemea
Kimsingi Mimi tayari nishatoa mkwanja wangu na naendelea kutumbua ni kama 460 dollar.
Lakini mbona wahindi walikuwa wanajua hii kitu kwa miaka kibao na walikuwa wanajifungia ndani wanakomaa kivyao bila kutushirikisha waswahili...waliyajua haya!! Tusingekuwa hata na chembe ya shukrani zaidi ya masimango na lawama wakaamua kukaa kimya..wakivuna dollar zao wanatuajiri kwenye maduka yao full kutupa matusi ya nguoni.
But ningekuwa Mimi nimegundua huu mchongo ningepiga kimya na kutafuta wanangu niliowashiba saana nikawapa idea tukapiga hela kimya kimya. Maana huwezi kumridhisha wala kumfurahisha binadamu..hata ukitembea juu yamaji bado atasema kwa vile huwezi kuogelea ndio maana unatembea juu ya Maji. Loh!
I won't do as ONTARIO did...hell no.
We are talking about money business, you invest money to get money, right?
So, business performance will be measured basing on things that money buy, or else other investments that came from diversified profit.
If I may ask, how else do you want me to judge your Forex business if it's not on money terms.
Kwaio unataka nipost biashara zangu, nyumba, magari ninayomiliki hapa jf ili uamini forex sio scam??? ENDELEA KUSUBIRI MPAKA YESU ARUDI. Utakachoona ni BLUE SCREEN TU na MIAMALA KAMA HII
Either way, endelea kiniridhisha kwa kunionesha screen za ku-copy mkuu.
I am so sure kama hakuna jinsi mnayofaidika kwa watu kujoin msingetupigia hizi kelele, eti kisa sote tuwe matajiri, ha ha ha!
If you are making money, keep doing.
hio ni ya jana TAREHE 16.10.2017 Leo bado sijaona opportunity ya ku trade katika favourate pair zangu
All the best man ...
Eti itakua ni dhambiUnajua nini? Watu walikuwa wakila kimya kimya kwa miaka mingi mkuu. Walikula sana! Na kiukweli hawakutaka watu wapate hizi taarifa hapa bongo kwa kuwa wanaona watu wengi wangefaidika. Binafsi nami sikupenda pia kushirikisha watu kile nilichojifunza na nunachopata ila imenibidi.
Ontario ambaye ndiye muasisi wa forex ya uwazi kwa Tanzania aliona itakuwa ni dhambi kuona atafaidi mwenyewe na kuamua kuwaomba wadau fulani toka South Afrika kuja kufundisha forex hapa bongo ili vijana ambao ndio wengi wapate hii elimu na kujikwamua. Sasa wapo watu ambao nawaita washamba ambao hawataki kuelewa.
Pia wapo ambao wanaona ulaji wao umevamiwa hivyo kuleta figisu. We jipange tu utafute hiyo ada yao kwani forex is always there. Hata mwakani, we jipange
1. BikO
2. Tatu Mzuka
3. Forex
Nadhani mmenielewa
Yani mnalazimisha watu wapate hela? Si kuleni nyie mnaokula? Matangazo na thread nyiingi forex forex daaah. Wekeni updates hizo kwenye nyuzi yenu moja msituchoshe
Mkuu unapoteza mda wako kuwajibu hao raiaNi vizuri kufanya research kabla hujaongea!! Mwenye akili timamu hawezi fananisha FOREX na tatu mzuka au Biko, Forex ni bness sio upatu!!
Fanya hivi, nenda google andika "forex market" then tafuta source kwenye wikipedia "the trusted source" kama unaijua lakini maana nawasi wasi na uelewa wako.
Take ur time read and read!!
Then uje hapa useme tena kama forex ni utapeli...
Soma sana kabla hujapinga kitu...
Si ulikua unaponda