Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

4e057a68a395aff71eeebddab2392823.jpg
04680e3e711e22c14dc07ab204ff9647.jpg


Per day 232 USD... Welcome TMT
 
Hesabu ya siku nimeingixa USD 61 ,Kwa asiejua Kwa kibongo ni 135,000/= na vichenj Kwa juu.. Thanks tmt, thanks Jeff for sharing such an opportunity stay blessed.
"at first they will ask why u are doing it, later they will ask how u did it"
[HASHTAG]#this[/HASHTAG] movement is bigger than us we walk with God
Blessings
Tmt
 

Attachments

  • Screenshot_20171016-213106.png
    Screenshot_20171016-213106.png
    40.3 KB · Views: 66
d692afb59f7d40bfd38c27d9327e55cf.jpg


Asubuhi ya Leo sijui tuite bahati nzuri? Sijui bahati mbaya? But nimetengeneza dollar 800 kwa bahati mbaya niliweka lot size kubwa then app ya simu ikastuck nikashindwa kuacces my trade baada ya kuangaika kwa nusu saa ninafanikiwa kuiwasha PC ambayo niliona muujiza kila position niliofungua ilikuwa na faida ya dollar 200 na ushee.

Ooopsiiii!! Its official guys...... I'm riiiiiiiiiich.
 
bd0b1081f42a159769acf9b1f2d4849b.jpg


Kimsingi Mimi tayari nishatoa mkwanja wangu na naendelea kutumbua ni kama 460 dollar.

Lakini mbona wahindi walikuwa wanajua hii kitu kwa miaka kibao na walikuwa wanajifungia ndani wanakomaa kivyao bila kutushirikisha waswahili...waliyajua haya!! Tusingekuwa hata na chembe ya shukrani zaidi ya masimango na lawama wakaamua kukaa kimya..wakivuna dollar zao wanatuajiri kwenye maduka yao full kutupa matusi ya nguoni.

But ningekuwa Mimi nimegundua huu mchongo ningepiga kimya na kutafuta wanangu niliowashiba saana nikawapa idea tukapiga hela kimya kimya. Maana huwezi kumridhisha wala kumfurahisha binadamu..hata ukitembea juu yamaji bado atasema kwa vile huwezi kuogelea ndio maana unatembea juu ya Maji. Loh!

I won't do as ONTARIO did...hell no.
Wahindi kweli ndo mana walikaa kimya unashangaa jioni wanazunguka na magari makali unajiuliza hawa wapiga mishe muda gani kumbe wengi wana trade, bora hao wanao kaa kimya tu saa nyingine unaleta kitu watu wanabisha pasipo kusoma au wanasoma juu juu damn, jaman mtuache tu tutapeliwe tu tumeamua, tahadhari wapeni wadogo zenu wanaowategemea
 
We are talking about money business, you invest money to get money, right?

So, business performance will be measured basing on things that money buy, or else other investments that came from diversified profit.

If I may ask, how else do you want me to judge your Forex business if it's not on money terms.

Kwaio unataka nipost biashara zangu, nyumba, magari ninayomiliki hapa jf ili uamini forex sio scam??? ENDELEA KUSUBIRI MPAKA YESU ARUDI. Utakachoona ni BLUE SCREEN TU na MIAMALA KAMA HII
279c8b085e541aca8e4cabd4bc8ad7e6.jpg
 
Kwaio unataka nipost biashara zangu, nyumba, magari ninayomiliki hapa jf ili uamini forex sio scam??? ENDELEA KUSUBIRI MPAKA YESU ARUDI. Utakachoona ni BLUE SCREEN TU na MIAMALA KAMA HII
279c8b085e541aca8e4cabd4bc8ad7e6.jpg

Either way, endelea kiniridhisha kwa kunionesha screen za ku-copy mkuu.

I am so sure kama hakuna jinsi mnayofaidika kwa watu kujoin msingetupigia hizi kelele, eti kisa sote tuwe matajiri, ha ha ha!

If you are making money, keep doing.
 
Either way, endelea kiniridhisha kwa kunionesha screen za ku-copy mkuu.

I am so sure kama hakuna jinsi mnayofaidika kwa watu kujoin msingetupigia hizi kelele, eti kisa sote tuwe matajiri, ha ha ha!

If you are making money, keep doing.

Haya mkuu ngoja niendelee kukuonesha screen ZA KU-COPY
7d144d881bb64d471b2c11ab48b79665.jpg
hio ni ya jana TAREHE 16.10.2017 Leo bado sijaona opportunity ya ku trade katika favourate pair zangu
 
Unajua nini? Watu walikuwa wakila kimya kimya kwa miaka mingi mkuu. Walikula sana! Na kiukweli hawakutaka watu wapate hizi taarifa hapa bongo kwa kuwa wanaona watu wengi wangefaidika. Binafsi nami sikupenda pia kushirikisha watu kile nilichojifunza na nunachopata ila imenibidi.

Ontario ambaye ndiye muasisi wa forex ya uwazi kwa Tanzania aliona itakuwa ni dhambi kuona atafaidi mwenyewe na kuamua kuwaomba wadau fulani toka South Afrika kuja kufundisha forex hapa bongo ili vijana ambao ndio wengi wapate hii elimu na kujikwamua. Sasa wapo watu ambao nawaita washamba ambao hawataki kuelewa.

Pia wapo ambao wanaona ulaji wao umevamiwa hivyo kuleta figisu. We jipange tu utafute hiyo ada yao kwani forex is always there. Hata mwakani, we jipange
Eti itakua ni dhambi
 
Ni vizuri kufanya research kabla hujaongea!! Mwenye akili timamu hawezi fananisha FOREX na tatu mzuka au Biko, Forex ni bness sio upatu!!

Fanya hivi, nenda google andika "forex market" then tafuta source kwenye wikipedia "the trusted source" kama unaijua lakini maana nawasi wasi na uelewa wako.

Take ur time read and read!!

Then uje hapa useme tena kama forex ni utapeli...

Soma sana kabla hujapinga kitu...
Mkuu unapoteza mda wako kuwajibu hao raia
 
Back
Top Bottom