The simple one
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 264
- 346
Pambana na Hali yako mkuuRubbish, umeweka story nzuri juu, chini ukamalizia nchi zilizoendelea ni kawaida?Ni kawaida forex ila sio kawaida upatu ktk forex. Pia sio kawaida ni halali,hata huko ushoga ni kawaida sana.Je inafanya kuwa sahihi?Pia infact Hizo hizo nchi hazina utaratibu wa kufanya biashara zinazoishia kuhamisha hela nje ya nchi.KUna swali umeruda sijui hujui nilikuwa namaanisha nini? Nilitaka mnipe mchanganuo wa kuonyesha kuwa mwisho wa siku hela zinazoingia nchini km dollar ni nyingi kuliko mnazosaidia maharamia kuchukua mchini halafu nyie mnagawaiwa kiduchu.Commitment ipi zaidi ya kuingiza mtaji? Hata upatu nao wana vision ya kuwa wa kwanza pale juu ile wafanyiwe kazi na hawa hapa chini.
Kusajili kampuni ni kitu kingine kupewa leseni ni kitu kingine.Je mna leseni ya BOT?Mna deposit bei ngapi BOT ya kugarantee watu mnaowadanganya na kuwalazimisha waingie kwa nguvu hizi.Wengi hawajui wanafanya nini zaidi ya kuona transactions tuu. Pia Nimekuuliza ktk forex mnayofanya unajua nani unamuuzia na nani ananunua zaidi ya kuona sijui rangi ya blue?Infact brokers wapo clear zaidi ktk kuuza bond, share, etc ila money ni very trick zaidi ya unavyotaka jaza junks hapa na story za wale jamaa zetu wanaoongea kisha wahuni wao wanapiga makofi na kelele na kusema huyu ni nouma humuwezi kaona mengi..