Forex traders!

Dawa ya FX ni mtaji wa kutosha
Bila kujari ukubwa au udogo wa mtaji

Dawa ya forex ni.
- Entry sahihi kwa wakati sahihi - Hapa ndipo watu hupata faida au hasara .
- Mengine yote yanafuata; viz LOT SIZE, kiasi cha mtaji etl
inalipa kuliko biashara nyingine yoyote
Hakika inalipa kuliko biashara nyingine yeyote ile, Forex ni biashara pekee ambayo waweza double mtaji ndani ya dakika 5

Pia FX ndio biashara pekee ambayo yaweza pukutisha mtaji wa $1000K to ZERO ( $00.00 ) within 5minute.
Nadhani wengi wanakumbuka kilichotokea January - Kuna ambao waliamka matajiri na kuna ambao waliamka na vilio.
 
Dan bhana!!
hii kitu haina adabu hata kidogo... unafanya analysis yako vizur kabisa, unaingia sokon..mara mpuuz fulan huko Canada anaropoka... withing seconds unapigwa bumbuwaz la maana kwa unacho kiona, na wakati unaangalia news calender, haikua na impact kubwa.. yaan ghafla tu pips 80 against...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani wewe kama mtaalamu wa forex tuthibitishie kuwa kweli forex inalipa kwa kushare hapa jukwaani FX account no. yako na investor password na washawishi matrader wenzako wafanye hivyo nadhan hii itasaidia kutupunguza sisi matomaso wa FX
Unafikiri kwa nini ushawishiwe kwa nguvu zote hizo,yaan ye anapata faida gani kukushawishi wewe eti forex inalipa ....kama huiamini si unaachana nayo tu
 
kiukweli watetezi wa hii kitu njia nyepesi ya kuwafanya wasiotaka kuamini kuwa FX is real ni nyie kushare FX acc no. zenu pamoja na investor password tofauti na hapo tutaendelea kuwa na mtazamo hasi kuhusu hii kitu mpaka ujiiiio wa pili wa nabii issa
Kuwa na mtazamo hasi au chanya has nothing to do with them na haibadilishi ukweli,if they get paid they get paid if not that's it,so kukushawishi wewe wala haiongezi wala kupunguza chochote
 
Bila kujari ukubwa au udogo wa mtaji

Dawa ya forex ni.
- Entry sahihi kwa wakati sahihi - Hapa ndipo watu hupata faida au hasara .
- Mengine yote yanafuata; viz LOT SIZE, kiasi cha mtaji etl

Hakika inalipa kuliko biashara nyingine yeyote ile, Forex ni biashara pekee ambayo waweza double mtaji ndani ya dakika 5

Pia FX ndio biashara pekee ambayo yaweza pukutisha mtaji wa $1000K to ZERO ( $00.00 ) within 5minute.
Nadhani wengi wanakumbuka kilichotokea January - Kuna ambao waliamka matajiri na kuna ambao waliamka na vilio.
Waambie hivi ..trading skills + capital ongezea na Risk Management...

Fox is real
 
Back
Top Bottom