Forex shops close as new licensing rules loom large

Kuna tofauti kubwa kuchange ela bank na kuchenjia bureau dechange.. Bank huwa wanatoa rate ndogo sana..
Nakubali ni kweli, hasa kama wabadili hela za kigeni za kutosha..ila masomoni wengine tulishuhudia kwenye nchi za watu wakiwa sheria hizi hizi, hasa waliotutawala, si ajabu, si mpya, ila kwetu hizi sheria zilkuwa zime "relax" kidogo...
Nashukuru Al-Watan kwa kuweka article ya John Mashaka, sisi tuna/tume dolorize karibu kila bidhaa, mbaya sana..
 
Ni hicho ulichokiuliza.
Niliuliza nini? Coz naona unaongea kishabiki tu. Ndo maana unakuwa defensive. Usiweke ushabiki kila mahali. Kauli yako ilikuwa more rhetorical ndo maana unakuwa defensive ukibanwa. Shit.
 
Sheria hizi hizi zipi? Relaxed kivipi?

Kuongeza mtaji kuna uhusiano gani na money laundering prevention or terrorism?
 
Niliuliza nini? Coz naona unaongea kishabiki tu. Ndo maana unakuwa defensive. Usiweke ushabiki kila mahali. Kauli yako ilikuwa more rhetorical ndo maana unakuwa defensive ukibanwa. Shit.
Neno "SHIT" linaingiaje katika mjadala huu.
Am not being defensive but rather FACTUAL.

Mkuu mambo ni hivi,
We have to DISCARD the Status quo and SAFEGUARD our country at all cost.
More so from un patriotic and unscruplous people like you.
If that is being Sycophant or rhetorical, so be it.!!!!

Jaribu kutumia maneno mazuri na si matusi. Have some sense of decorum when engaging other people katika hoja.
 
Ni shida sana kwa akili ndogo kama ya Mkulu kuongoza Akili kubwa.
Hapo wanachounda kwa kingereza kinaitwa Monopoly yaani huko tuendako wanataka kuondoa ushindani na mbenki yatakua huruma kuweka kiwango cha ubadilishaji kwa jinsi wanavyo penda wao tofauti na zama za ushindani
 
Neno "SHIT" linaingiaje katika mjadala huu.
Am not being defensive but rather FACTUAL.

Mkuu mambo ni hivi,
We have to DISCARD the Status quo and SAFEGUARD our country at all cost.
More so from un patriotic and unscruplous people like you.
If that is being Sycophant or rhetorical, so be it.!!!!

Jaribu kutumia maneno mazuri na si matusi. Have some sense of decorum when engaging other people katika hoja.
I don't give a fu-ck foreal. I call it how I see it. And what the hell did u use to measure my patriotism? Quit being a moron. I speak based on experience.

You needed to show me what measurement was taken to "safeguard our country" in this matter? You have failed to explain how all of this will work. How does raising the capital helps with money laundering? Mbona simple question wewe hujibu unaona tu neno "shit" ndo la kurespond towards?

"Maneno mazuri" kayatumie kwenye vikao vya chai huko, wtf
 
OK.

Unaona yana mantiki? Bureau De Change si benki useme zinachukua hela za watu na kuzihifadhi, kwa hivyo unahitaji some sort of security/insurance deposit.

Kuna rationale gani kuwapandishia kiwango hivyo?

Makala haijafanya kazinzuri ya kuelezea sababu, zaidi ya kutaja tu capital flight na money laundering in a rather vague way.

Kuongeza deposit kunabanaje money laundering?Mtu anayefanya serious money laundering kuongeza deposit kutakuwaje tatizo kwake? Huonikama kuongeza deposit kutawabana wasiofanya money laundering na kuwaachia wanaofanya serious money laundering tu?
Kwa akili za HKL (Pure Ngwini) nadhani kuongeza mtaji kutafanya players "bureaus" ziwe chache hivyo kuweza kuwadhibiti watakatishaji wa pesa chafu
 
Wingi au uchache wa players si udhibiti. Unaweza kuondoa wote wasiofanya biashara chafu, ukabaki na wachache wanaofanya biashara chafu, halafu ukashindwa kuwadhibiti kwa kuwa hujui mbinu zao wanazofanya online.

Unashupalia cheki zinavyoenda benki, zote zinaonekana poa, kumbe wao wana mambo yao online.
 
I don't give a fu-ck foreal. I call it how I see it. And what the hell did u use to measure my patriotism? Quit being a moron. I speak based on experience.

You needed to show me what measurement was taken to "safeguard our country" in this matter? You have failed to explain how all of this will work. How does raising the capital helps with money laundering? Mbona simple question wewe hujibu unaona tu neno "shit" ndo la kurespond towards?

"Maneno mazuri" kayatumie kwenye vikao vya chai huko, wtf
When you revert to using vulgar language such as the word "F***"
This leaves me with a lot of questions and shows how intolerant you are to divergent views.
I am sorry to say I am not ready to be dragged into an exchange of vulgar language as you would want me to.
As for me being a Moron, It is absurd.
However a person who uses unprintable words and sour and vulgar language.
And and the other who uses measured words.
Who is a Moron between the two?
Usiku mwema.
 
Uchumi wa Tanzania, kwa malipo ya ndani ya nchi,unaendeshwa kwa fedha za Kitanzania. John Mashaka aliandika makala nzuri sana kuhusu "the dollarization of the Tanzanian economy" akaonya ubaya wa watu kulipishana vitu kwa dola.

Kwa habari zaidi ya makala ya John Mashaka soma hapa

MICHUZI BLOG: Dollarization of the Tanzanian Economy, Is Tanzania a Failed State Economically?…….Debate!

Hivyo basi, watu wanaobadili hela wanatakiwa wawe na sababu nzuri za kufanya hivyo. Mathalani watu waliotoka nje wanaokuja nchini, wanaotoka nchini wanaokwenda nje au wanaolipia bidhaa na huduma nje ya nchi.

Kinachotokea katika uchumi ambao Bureau De Change hazina usimamizi mzuri ni kwamba, mtu anaweza kuiba hela nyingi serikalini huko, akaona akiweka benki za Tanzania serikali itajua, akanunua dola Bureau De Change na kuzituma dola hizo nje ili ziwekwe kwenye akaunti za nje ya nchi.

Sasa basi, serikali ikiniambia kwamba, inaimarisha viwango vya documentation ili kudhibiti utoroshaji huu wa fedha, ili mtu akituma hela zaidi ya $1000 kwa mfano nje, atoe maelezo anatuma kwa nani, kwa kazi gani etc, atoe ID za kueleweka, asajiliwe etc hapo nitaelewa serikali inabana process kuzuia watu kutorosha forex nje.

Lakini bado sijaelewa, kuipandishia Bureau De Change deposit kunasaidiaje kudhibiti money laundering and forex flight?

Mkuu umenichanganya kidogo hapo uliposema watu wanaweza kutakatisha pesa wakaipeleka Bureau De Change na kuituma nje. Siku zote, kutuma pesa nje kutoka Tz hulazimiki kwenda kuibadilisha kwanza Bureau De Change. Unaweza kwenda na pesa yako ya madafu kituo chochote cha MoneyGram, Western Union ukapewa tu exchange rate ukakabidhi pesa yako ya madafu ukaituma nje. Anyways, at the end of the day hakuna pesa inayotoka nchini without any paper trail that the government can use to track money launderers - unless uniambie pesa imesafirishwa kwenda kwenye nchi kama Congo kwenye vita na ambako serikali yake ipo kama haipo.

Mimi nadhani tatizo lipo kwenye serikali kushindwa kusimamia sheria ambazo zipo tayari in the books, ndiyo maana tunashuhudia inconsistencies kwa hawa mawakala tunapoenda kutaka kubadilisha fedha au kutuma fedha nje ya nchi. Ukienda kutuma pesa nje ya nchi kwa Western Union ya benki ya Posta unaombwa vitambulisho na viambatanisho vingi. Ukienda bank nyingine unaulizwa tu maswali machache ya mdogo wakiridhika wanapokea pesa yako wanaituma.

Hujajibu sehemu ya pili ya swali langu kuhusu hili tatizo la money laundering kupitia Bureau De Change ni kubwa kiasi gani nchini. Sijawahi kusikia mtu kakamatwa nchini ametakatisha pesa na somehow ameshirikiana na Bureau De Change yeyote ile kuficha hizo pesa. Wasiwasi wangu isije kuwa ni hisia tu na serikali ikawa inaweka new regulations based on speculation, at the expense of small business owners who contribute to our economy.

Hilo la kupandisha viwango vya deposits kwa Bureau De Change owners, ninahisi ni kisingizio tu kwa serikali kupata fedha ya kujikopesha kutekeleza miradi yake.
 
Good.Hongera Beno.Lilikuwa chaka baya sana hili la kutakatishia fedha.
Elezea ni kivipi hizo hatua zinazuia hilo. Wewe unadhani hiyo pekee ndo biashara ambayo watu wanaweza kutakatisha pesa?
When you revert to using vulgar language such as the word "F***"
This leaves me with a lot of questions and shows how intolerant you are to divergent views.
I am sorry to say I am not ready to be dragged into an exchange of vulgar language as you would want me to.
As for me being a Moron, It is absurd.
However a person who uses unprintable words and sour and vulgar language.
And and the other who uses measured words.
Who is a Moron between the two?
Usiku mwema.
im ok with "divergent views", as long as they make sense. I insist you don't cherry pick. Did you only see the "f word"?

Don't spend all that time and energy complaining and whining. Just stick to the point you'll be fine. Don't get distracted easily. Make sure you get to answer the questions as well for the benefit of readers.
 
Mkuu umenichanganya kidogo hapo uliposema watu wanaweza kutakatisha pesa wakaipeleka Bureau De Change na kuituma nje. Siku zote, kutuma pesa nje kutoka Tz hulazimiki kwenda kuibadilisha kwanza Bureau De Change. Unaweza kwenda na pesa yako ya madafu kituo chochote cha MoneyGram, Western Union ukapewa tu exchange rate ukakabidhi pesa yako ya madafu ukaituma nje. Anyways, at the end of the day hakuna pesa inayotoka nchini without any paper trail that the government can use to track money launderers - unless uniambie pesa imesafirishwa kwenda kwenye nchi kama Congo kwenye vita na ambako serikali yake ipo kama haipo.

Mimi nadhani tatizo lipo kwenye serikali kushindwa kusimamia sheria ambazo zipo tayari in the books, ndiyo maana tunashuhudia inconsistencies kwa hawa mawakala tunapoenda kutaka kubadilisha fedha au kutuma fedha nje ya nchi. Ukienda kutuma pesa nje ya nchi kwa Western Union ya benki ya Posta unaombwa vitambulisho na viambatanisho vingi. Ukienda bank nyingine unaulizwa tu maswali machache ya mdogo wakiridhika wanapokea pesa yako wanaituma.

Hujajibu sehemu ya pili ya swali langu kuhusu hili tatizo la money laundering kupitia Bureau De Change ni kubwa kiasi gani nchini. Sijawahi kusikia mtu kakamatwa nchini ametakatisha pesa na somehow ameshirikiana na Bureau De Change yeyote ile kuficha hizo pesa. Wasiwasi wangu isije kuwa ni hisia tu na serikali ikawa inaweka new regulations based on speculation, at the expense of small business owners who contribute to our economy.

Hilo la kupandisha viwango vya deposits kwa Bureau De Change owners, ninahisi ni kisingizio tu kwa serikali kupata fedha ya kujikopesha kutekeleza miradi yake.
Kitu cha kwanza kabisa, unaposema hakuna pesa inayotoka nchini bila paper trail, up until April 2016 kulikuwa hakuna sheria ya kumzuia mtu kutoka physically na forex kiasi chochote Tanzania.

Nafikiri hii mpaka leo bado.Kama wamebadilisha labda in the last 18 months.

Pia Bureau de Change kuna loophole inayowezesha watu kununua Forex bila kutoa info zao wala kupewa risiti.

Soma article ya Reuters hapo chini.

Bad Side of the Zanzibar-Tanganyika Union… | TZ Business News
 
Hivi mtaji ukiwa milioni 100,watu wa benki kuu kinawauma nini? Wao wanatakiwa kuhakikisha taratibu zinafatwa tu kama regulator hata kama mtaji ni milioni hamsini,wao wachukue kodi zao na tozo watembee
Kinachotakiwa ni washindwe kufanya biashara!
Nchi inanuka mavi hii.
 
Elezea ni kivipi hizo hatua zinazuia hilo. Wewe unadhani hiyo pekee ndo biashara ambayo watu wanaweza kutakatisha pesa?

im ok with "divergent views", as long as they make sense. I insist you don't cherry pick. Did you only see the "f word"?

Don't spend all that time and energy complaining and whining. Just stick to the point you'll be fine. Don't get distracted easily. Make sure you get to answer the questions as well for the benefit of readers.
Aika mbe.
 
Back
Top Bottom