Forex shops close as new licensing rules loom large

Hapo sasa?! Tusubiri tuone, hapo BOT wamepandisha mtaji tu, ili kuondoa vile vi Bureau De Change vya kimangumashi, vilivyokuwa vinatumiwa kuweka mitaji ya madawa ya kulevya na biashara zingine haramu, ukitaka Forex nenda benki za kawaida tu mbona wako poa, wasiojuwa, CRDB, NMB, NBC, KCB, Azania na wengine wengi tu wana dollars, hakuna tatizo hapo, hao wababaishaji tuone kama watatunisha misuli au watapandisha mitaji..yetu macho..
Forex za kimagumadhi ndio zenye rate nzuri kuliko benki uchwara.
 
Hivi mtaji ukiwa milioni 100,watu wa benki kuu kinawauma nini? Wao wanatakiwa kuhakikisha taratibu zinafatwa tu kama regulator hata kama mtaji ni milioni hamsini,wao wachukue kodi zao na tozo watembee
Wao wana roho mbaya na wivu.
 
Back
Top Bottom