Forex ni scam au real?

Fungua ECN account kwa broker.
Elewa swali lake la msingi
how SURE you accessing the ECN network??, how ECN naturally works??
Ni maswali ya msingi sana, Brokers wengi wanatumia MM model na still wanajitangaza kama best ECN broker ila kiuhalisia ni MM brokers.

Hivyo ndugi sirmweli tusaidie hapo kwenye hoja yake
#1. how SURE you accessing the ECN network?
#2. how ECN naturally works?

Kwa nyongeza utamtambua vipi Real ECN broker.
 
Wako sawa hata uwape million 2
Tufanye hivi achukuliwe watu wawili wote wapewe laki mbili mbili alafu mmoja abet na mwingine atrade forex, then baada ya mwezi ufanye asses
ku watu watu mjini ni dealers wauza odd kama signal zinazouzwa na watu wa forex na wanapiga picha kweny mahotel kama mentors uchwara wa forex mi nina jamaa yangu since chuo anabet ana gari now na kiwanka kikubwa
 
Wako sawa hata uwape million 2

ku watu watu mjini ni dealers wauza odd kama signal zinazouzwa na watu wa forex na wanapiga picha kweny mahotel kama mentors uchwara wa forex mi nina jamaa yangu since chuo anabet ana gari now na kiwanka kikublaki
laki mbili kuikuza kwenye forex hadi 3 million mazingira yanawezekana, kuliko kubet football socker ni ngumu sanaa chance to loose ni kubwa sana kuliko kupata, kwenye kubet hutakiwi kukosea hata kidogo ili ufanikiwe, ila kwenye forex loss hata 3 unaweza usipate hasaraa lakini sio kubet, kwasababu ukibet labda 10 mechi, na katika hizo 1 ukala loss, hiyo odd ya loss inabadilika inakuwa 0 sasa hata kama zingine mechi 9 umeshinda for whatever odd say 500odds na your stake tsh 200,000
hesabu inakuwa hivi =500 (mechi 9) x 0(loss moja) x 200000(dau lako) = otsh(any number times 0 is equal to zero)



njoo upande wa forex
risk reward ratio say 1:3
say umefungua position 10, kila moja dau la 20000(8usd) sawa na stop loss ya pips 80 kwa lot size 0.01
haya umeloss one position kama yule aliebet football na umewin 9 postion
tufanye hesabu
profit = 9 *3*8usd usd( hizi zimewin) + 8usd *9 (jumla ya risk ammount kwa kila position uliotumia, hii maana yake haijapotea so inajumlisha na kile kilchoongezeka) - 8usd(loss uliopata)=280usd sawa na tsh 644,400
hya kumbe kutoka dau zima la mwanzo tsh 200000 kuna ongezeko la tsh 444,400 ambayo ni profit umepata

sasa naenda kuhitimisha
1. kubet ni ngumu kumanage risks, probabilty ya kupoteza ni kubwa kuliko kupata kama unata kuamini huwezi kuwa mshindi perfect 12 continousily kila wiki , unaweza kushinda mala moja kwa mwaka lakini kwenye forex unaweza kuwa winner kila siku haijalishi umepata loss
2.kwenye forex loss unayoipata inajitegemea(namanisha magntude ya loss inaaffect the same mangnitude kwenye capital yako, na siyo magnitude yote ya capita yako inakuwa affected ) kama yenyewe haikufanyi kupoteza win zako zote kwenye kubet loss moja inakuwa virus kama wa komputer anaangamiza your all profit whatever figure is, kwasabu moja tu sufuri ikizidishwa na namba yoyote jibu ni ziro pia kwa lugha nyingne rahisi naweza sema kwamba, kwenye kubet faida inapatikana baada ya kuchukua winn unazidisha kwa loss unazidisha tena kwa dau, ila forex hesabu zinafanyika kama biashara za mitaani, yaani ili kujua faida ya leo unachukua mtaji wako unajumlsha na faida ya leo unatoa na hasara ya leo

kubet ingekuwa bora zaidi kama profit calculation zingetumika kama za biashara zingine, yaani huwezi kuniambia kutafuta faida ya leo may be dukani kwangu nachukua hasara ya leo x faida ya leo x mtaji wangu hiki kitu hakipo
mi naona kwenye kubet walidegn njia ambayo itaongeza risk ya kupotezaa kwa mteja na siyo mwekezaji
forex inaoperate kama biasha zinginee , yaani mtaji wa 10M nimepata hasara ya 100000 siwezi poteza hela yote yaani haileti akilini kabisaa 10,000000 - 100000 = 0 badala ya 9.900.000 hahaha! sasa hiyo biashara gani???
ni hayo tu wajumbe kama kuna mtaalamu mwingine anaweza ongezea.
 
Mo alishafanya hicho kitu...Wa kubeti alishinda
When na ilikuaje
Wako sawa hata uwape million 2

ku watu watu mjini ni dealers wauza odd kama signal zinazouzwa na watu wa forex na wanapiga picha kweny mahotel kama mentors uchwara wa forex mi nina jamaa yangu since chuo anabet ana gari now na kiwanka kikubwa
Hakuna kitu ka iyo mzeiya kuuza tu odds si azitumie kubetia kila siku Naingia jukwaa la kubet za uso ni nyingi mno
 
When na ilikuaje

Hakuna kitu ka iyo mzeiya kuuza tu odds si azitumie kubetia kila siku Naingia jukwaa la kubet za uso ni nyingi mno
Yeap kama forex wajanja signal daily hamna kitu walishachomewa na jamaa wao ontario huko nyuma😂😂😂
 
Elewa swali lake la msingi

Ni maswali ya msingi sana, Brokers wengi wanatumia MM model na still wanajitangaza kama best ECN broker ila kiuhalisia ni MM brokers.

Hivyo ndugi sirmweli tusaidie hapo kwenye hoja yake
#1. how SURE you accessing the ECN network?
#2. how ECN naturally works?

Kwa nyongeza utamtambua vipi Real ECN broker.
Hapo utaangalia kama yupo (REGULATED) na taasisi za serikali kama USA , UK, S.A na Australia.
 
Well forex is real and you can make tons of money or loose it all, siongei kwa ushabiki naongea kitu ninachojua na ninafanya vizuri tuu kipesa/financially, been trading for almost 15 years now, tatizo forex ni vigumu kumfundisha mtu akakuelewa, na hakuna strategy or money management ambayo ni perfect, Ila one advice know your charts/pattern then learn and go deep on strategies like MA, RSI, Bollinger bands, Fibonacci, ichimoku etc hakikisha unaelewa kwa sababu hizo strategies zinafanya kazi ni kwa sababu traders dunia nzima wanatumia, pattern zinafuata hizo strategies , eventually you will come with your own trading system (from the knowledge), I guarantee you will make a lot of money, I'm very rich because of forex(just for your motivation and I mean it), tumia YouTube, google etc kuna free training za kutosha and don't pay anybody to teach you forex, good luck
 
Well forex is real and you can make tons of money or loose it all, siongei kwa ushabiki naongea kitu ninachojua na ninafanya vizuri tuu kipesa/financially, been trading for almost 15 years now, tatizo forex ni vigumu kumfundisha mtu akakuelewa, na hakuna strategy or money management ambayo ni perfect, Ila one advice know your charts/pattern then learn and go deep on strategies like MA, RSI, Bollinger bands, Fibonacci, ichimoku etc hakikisha unaelewa, naamini eventually you will come with your own trading system, I guarantee you will make a lot of money, I'm very rich because of forex(just for your motivation 😁 and I'm real), tumia YouTube, google etc kuna free training za kutosha and don't pay anybody to teach you forex, good luck
Mbona William Elkhart and Richard Dennis walibishana kuwa unaweza ikafundishwa kwa talented guys ,wakabet mwishowe wakafundisha vijana wakawapa hela zao wakawatredi na walizalisha profitable traders like Malaysian guy Varp Thaarp
 
Well forex is real and you can make tons of money or loose it all, siongei kwa ushabiki naongea kitu ninachojua na ninafanya vizuri tuu kipesa/financially, been trading for almost 15 years now, tatizo forex ni vigumu kumfundisha mtu akakuelewa, na hakuna strategy or money management ambayo ni perfect, Ila one advice know your charts/pattern then learn and go deep on strategies like MA, RSI, Bollinger bands, Fibonacci, ichimoku etc hakikisha unaelewa ma sababu hizo strategies zinafanya kazi ni kwa sababu traders dunia nzima wanatumia kwa hiyo pattern zinafuatwa hizo strategies , eventually you will come with your own trading system (from the knowledge), I guarantee you will make a lot of money, I'm very rich because of forex(just for your motivation and I mean it), tumia YouTube, google etc kuna free training za kutosha and don't pay anybody to teach you forex, good luck
Kwenye mechanical rules unamfundisha mtu sema kwenye instictual or intuition, subjective rules ni ngumu kumwambia ama kufundisha
 
Mbona William Elkhart and Richard Dennis walibishana kuwa unaweza ikafundishwa kwa talented guys ,wakabet mwishowe wakafundisha vijana wakawapa hela zao wakawatredi na walizalisha profitable traders like Malaysian guy Varp Thaarp
You can teach some basics lakini to make serious money naamini ni wewe mwenyewe, nafikiri watu ambayo ni wazuri in math ambao wanaweza kuona some pattern Wana good chance ya kufanikiwa in forex(not necessarily)
 
You can teach some basics lakini to make serious money naamini ni wewe mwenyewe, nafikiri watu ambayo ni wazuri in math ambao wanaweza kuona some pattern Wana good chance ya kufanikiwa in forex(not necessarily)
Am not how agree with you. Kwa mfano wenye good math awareness
 
But all of it..hii kitu ni real na unaweza make money tatizo ni ile wa tz tuna papara na tunawahi kukata tamaa hii n business kubwa sana saiv inaingia mpaka mabitcoin pia stocks yaan Kuna instrument nyingi mno za kukufanya upate pesa. Cha msingi ni kusoma na kujua nn kimo ndani sio ishu ya leo kesho uamke tajiri aaaah wapi take time kujifunza na ku grow.. kwakweli n huge market Wala hadanyi mtoa mada
UMEMALIZA KILA KITU COMRADE.
 
WAJUMBE NA MASWALI YAFUATAYO

  • How liquidity providers fill your orders either buy or sell orders?
  • How currency speculators provide liquidity to the market?
  • Market move due to supply and demand sasa wanayoimove up na down ni demand and suppliers wanaobuy na kusell real currency(not currency pair) kupitia ECN network? Au demand na suppliers wanaofanya speculation ambao ni mimi na wewe?
  • Unapobuy pair ya currency na wewe unakuwa miongoni mwa DEMAND kama wanavosema? Na unaposell pair unakuwa miongoni mwa suppliers kama wengine? Au wewe kuwa DEMAND au SUPPLYERS kunategemea demand wanaobuy buy currency na sio currency pair na wanao sell currency na sio wanao sell currency pair?
  • Unapofanya uchambuzi wa suppliers na demand unawaconsider na speculators kuwa nawao ni miongoni suppliers na demand wanaoweza kumove soko?
  • Unapo place oders mfano sell na soko likaenda upande wako na kuhit take profit yako, unaamini na wewe umechangia kumove soko chini(kudevalue currrecy price)?
 
TUONGEZE MAARIFA KIDOGO



Soko zuri ni lile kuna wanunuzi wengi na wanunuaji wengi, mfano wanaouza samaki ni 10 na kila muuzaji ana samaki 50

10^50= samaki 500 wapo sokoni wanuzwa

Na wanaohitaji kununuliwa samaki ni 500

Hapo tunasema wanunuzi na wauzaji wana nguvu sawa yaani 50 kwa 50

Hapa ndipo tunapata kitu kinaitwa FAIR PRICE yaani wanunuzi wamelizishwa na bei iliyopo sokoni ya kununua samaki pia wauzaji wamekubali kuuza samaki wao kwa bei hiyo sasa hali ya soko inaitwa BALANCED STATE kwamba kati ya pande mbili hakuna yeyote anayeumizwa na bei ya soko, sasa kwa upande wa forex hali hii hushauliwa kutia PESA

Sasa balance state itaenda kwa muda na baadae kutatokea hali nyingine, sasa upande wa kwanza ikitokea wanunuzi wamekuwa wengi kuliko wauzaji, wauzaji watapandisha bei kwa sababu hali inaonesha samaki ni hadimu kwa muda huo, so bei itapanda mpaka pale wanunuzi watashindwa kuhimili kununua samaki na watapungua sokoni kwasababu kunakuwa hakuna namna kuweza kuendelea kununua samaki kwa sababu ya bei kubwa sasa kitendo cha wauzaji kupandisha hiyo bei ya samaki inaitwa IMBALANCED STATE (kwenye forex tunasema DEMAND wana nguvu hivyo wamesabisha bei ya samki kupanda kwa wao kuwa wengi)

Na ikitokea wanunuaji wamepotea sokoni kwa sababu ya bei kubwa wauzazi itawafanya waanze kushusha kidogo kuangalia kama wanunuzi watavutika tena, bei ikishuka kidogo na ikatokea wanunuzi bei wameikubari(FAIR PRICE VALUE) basi soko litatengeneza hali ya BALANCED STATE,sasa ikitokea balance state imekaa muda sana tunasema wanunuzi wengi waliikubali hii price kununua hivyo kufanya 50 kwa 50, na ikitokea balanced state imekaa muda mfupi sanaa, tunasema kuwa wanunuzi wachache walikubaliana na kununua samaki kwa hiyo nazani ni mataita au mfuko mrefu, na wengine wengi choka mbaya kushindwaa kuhimili hiyo bei, sasa wauzaji itawaforce kushusha bei kwa speed sana hapa kwenye forex tunasema wauzazi wameingiwa na uoga(FEAR) may be wasipofanya hivyo samaki zao zingeozwaa, sasa wakifanya hivyo tunatengeneza hali ya soko kuwa IMBALANCED(hapa kwenye forex tunasema suppliers are strong or more in numbers than buyers) sasa hapa tena tunasema kushuka bei kwa samaki kwa speed sana tunasema HIGH MOMENTUM( momentum kwenye physcs, ni mass *velocity, kwenye forex tunasema the PRICE should move widely in short period of TIME, so TIME and PRICE move matter in identifying momentum) wengine wanaitaa momentum ni trend whatever utakavoona kuita, sasa hapa forex traders wanashauliwa kuweka PESA zao wakati soko lipo kwenye hali ya IMBALANCED STATE, ili kuwawezesha kuvuna PIPS nyingi
sas soko linapoendelea kuwa katika hali ya BALANCED STATE, hapa tunasubiri tu hali ibadilike tutie pesa tu, sasa ikitokea kwa vile bei imeshushwa wanunuzi wataingia rohoni mwao na kitu kinaitwa GREED yaani uroho/urafi whatever utakapoita kila mtu atatamani kunua samaki kwa wingi, wakati samki wananunuliwa kwa urafi, kuna hali itatokea wanunuaji wamekuwa wengi sana kuwazidi wauzaji, sasa hapa hali ya soko ndipo inapoenda kubadilika kutoka balanced kwebda IMBALANCED STATE, na tutakuwa na high momentum kwasabu wauzaji watapandisha bei ya samaki kadri wanunuaji watakavokuwa wanaongezeka kununua samaki hadi pale hali itakavyokuja kuwa mbaya na wanunuaji kupotea kwenye soko, na kuanza kutafuta hali nyingne ya soko ambayo ni BALANCED STATE

Lakini bado najiuliza sanaa, je hao wanunuzi na wanunuaji na sisi tunahusishwa tunaospeculate currency??

So market move in cycle BALANCED STATE, IMBALANCED STATE, BALANCED STATE n.k( japo balanced state hutokea clearly na non clearly yaani ndogo na kubwaa)

LEO NIMEKUJA KWA MTINDO WA SAMAKI, kwa sababu wengi bongo zao kucreate IMAGINATION ya how markets works inakuwa ngumu, na ukichanganya na terminologies unakata tama mapema

AHSANTE SANA WAJUMBE
 
Forex is a scam and the game of gamblers,none of you mentors wants you to know that

Nakupa mfano na uhalisia kama kuna mentor mkubwa aje ajibu hapa kiukamilfu with reasonable hits

Nimeijua forex 2016 nimetrade sana kipind icho jp market alikuwa anafanyia watu ushenzi na tulikuwa tunatumia sana templer to krahisisha kutoa na kuweka pesa
Unachotakiwa ujue forex haikuanza na mzunguko wa $6 trillion kama mnaelewa ilianza chini kabisa before walikuwa wanafnya mabanks tu ndo maana kama ni mtu unafuatilia back years unasikia bank imefilisilika sababu ya forex ila jiulize kwa sasa ni ngumu kusikia ilo kwa sababu kuna small fishs ( retailers traders )wengi hawa ndo wanapigwa

Unachotakiwa ujue forex na betting ni same zote wameanzisha matajiri na mabank kufanya kama starehe na kutumia pesa zao

Jiulize je kwa nn brockage firms zinaweza kuwa na insurance lakin forex trader mwenyewe hana kitu dhidi ya loss kama ni business na ni forex na betting ukipigwa unatembea?

Jiulize kama ni business real ukisell ukaliwa means buyers wakati huo wamepiga yaani mmevutiana soko wenyewe kwa wenyewe then na betting tena betting ina option nyingine ambayo mechi inaweza kuwa draw ,loss, or win ila forex pande mbili tu ukiloss mwenzio kapiga means ni gambling
Je mentors kwa nn wanakimbilia kufundisha kutoa signal ,kuandaa vitabu insteady of focusing on market

Tamaa za kushawishi watu kuingia kweny forex ndo zina faida nying kuliko uhalisia wa kutrade mfano brokers wanatumja system ya ib (introducing broker) kualika mtu ili upate commsion kama anayokuja nayo sirjeff na broker 360 na pia aalifanya na jp market miaka ya nyumba na ukiangalia kila mentor ana brokee wake apate kumpromote apate commsion angalau ni uwakika kuliko kuingia sokoni

mentors wanatumia njia ngumu kushawishi watu waamini wamefanikiwa kama showoff mara masuut hotelin, sijui magari
duu kweli kazi kahiyo wale wa south kina jasonnioah, manado the goat, ref wayne, fx goats, sandile shez hata vile waavyo fanya analysis live pia ni scam??
 
WAJUMBE NA MASWALI YAFUATAYO

  • How liquidity providers fill your orders either buy or sell orders?
  • How currency speculators provide liquidity to the market?
  • Market move due to supply and demand sasa wanayoimove up na down ni demand and suppliers wanaobuy na kusell real currency(not currency pair) kupitia ECN network? Au demand na suppliers wanaofanya speculation ambao ni mimi na wewe?
  • Unapobuy pair ya currency na wewe unakuwa miongoni mwa DEMAND kama wanavosema? Na unaposell pair unakuwa miongoni mwa suppliers kama wengine? Au wewe kuwa DEMAND au SUPPLYERS kunategemea demand wanaobuy buy currency na sio currency pair na wanao sell currency na sio wanao sell currency pair?
  • Unapofanya uchambuzi wa suppliers na demand unawaconsider na speculators kuwa nawao ni miongoni suppliers na demand wanaoweza kumove soko?
  • Unapo place oders mfano sell na soko likaenda upande wako na kuhit take profit yako, unaamini na wewe umechangia kumove soko chini(kudevalue currrecy price)?
Haya maswali hayaongezi chochote cha maana kwa forex trader.

Forex trader anahitaji (strategy, risk management, position sizing)
 
Back
Top Bottom