Forex haiwezi kukutoa kimaisha, ni bora ubeti au ukalime

Wakuu habari zenu,

Baada ya kupigwa pesa zangu kwenye forex nimeamua na mimi nije kushare jinsi forex ilivyopelekea mpaka nime break up na gf wangu, lakini yote maisha nimejua wanawake almost wote ni lowkey gold diggers, kwa nini nasema hivyo nimepigwa $3200, $1000 zilikuwa ni za kwangu niliunguza account, nikamkopa gf wangu $600 nikaweka nikaliwa, nikakopa kwa jamaa angu $1500 nilikuwa na kigari nikaweka ku secure bond loan, nimeliwa pesa yote $1500.

Niseme chanzo cha ku break up kilianzia kwenye migogoro ya pesa na baadaye kufuatiwa vita vikali vya maneno kwa sababu nilikua nina hasira za kuliwa pesa zangu ilibidi nizimalizie kwenye huu ugomvi kwa sababu yeye ndiye alinianza, ki ukweli no outside parties were involved (at least from my side), chanzo ni pesa.

Nikiachana na hayo nimejiuliza maswali mengi, kuhusu hawa traders wanaokuwa wamefanikiwa hivi kwa nini wanauza signal kama kweli wanaingiza pesa kupitia Forex? kwa nini wana tozesha watu pesa kuwafundisha Forex?

Kwa kweli nimeamini ule msemo kwamba 95% wanapoteza pesa kwenye Forex, 4.5% lazima itakuwa ni kampuni kubwa za ku trade ambao kwa mwezi wanapata return ya 4% hadi 5% kitu ambacho kwa sisi masikini hatuwezi, 0.5% watakuwa ndio hawa traders wa kawaida wenye big account ndio wa kuitwa professional trader ambao hawana shida ya kupost profit insta wala kuuza signal au ku charge fee kufundisha watu(kwa mawazo yangu).

Hawa mentors wa Instagram na twitter washenzi sana, wamechangia pesa zangu kuliwa kwa kufuata signal zao pia, lakini mawazo yalienda mbali sana nikawaza hivi hawa mentors wanaojitapa wanajua kuvuta profit kwenye forex kwa nini wanauza signal, kwa nini wanawatoza watu fee kuwafundisha?, wanajitapa eti wao forex ni kama sehemu ya kwenda kuchota pesa na wanapost gari nzuri ufahari mwingi.

Hivi hawa mentors wanawazidi nini wale jamaa wametengeneza MT4, waliobuni indicators kama Moving Average, Stochastic, RSI, MACD n.k almost indicators 50 na zaidi. Binafsi naamini kama kuna watu wanaielewa Forex basi ni hawa wabunifu wa hivi vitendea kazi, lakini sijawahi kuwasikia wana kelele kama hawa traders wa instagram na twitter ambao huwa wanajiona ni miungu ya Forex, kazi yao ni kutoa motivation na kupost ufahari, tapeli wakubwa, pesa zao ni za wanafunzi na kuuza signal.

Mi nasemaje Forex ni utabiri tu, hakuna anayejua market ita move wapi, ni kukisia tu, hata uwe trader wa aina gani kwenye Forex direction ya market wote tunatabiri.

Katika kitu Forex imenisaidia ni kugundua kuwa my gf ni mchawi wangu, najua she’s so successful in her career thats why ameona hata tukiachana ataendelea kula maisha, yote maisha, namuombea afukuzwe hata kazi.

Kama Mtaji Wako ni mdogo, Forex Haiwezi Kukutoa Kimaisha, ni Bora Ubeti Au Ukalime, hata ikikutoa bahati imehusika.

Thanks.
well noted
 
Kwa akili yako fupi ya kuuza machungwa ukaingia utrade forex. Alafu baada ya market kukuchapa umekoclude fx haiwezi kumtoa mtu kimaisha. Kwa kifupi nikwambie hiyo ni biashara ya matajiri wenye ujuzi mwingi sio kapuku kama ww. Ww nenda kalime tu
 
Back
Top Bottom