Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wacha ufala wewe, ebu jifunze hapo forex ni nini Kwa wazawa waanzilishi wa hiyo kitu. Wewe umevamia tu na njaa yako mpaka kiatu chako kimetoboka.


sihitaji kujifunza chochote mradi natengeneza pesa inatosha forex iwe betting iwe gambling iwe bibi yako sawa tu nguruwe wahed wewe
 
Samahanin wanajukwaa....
Nlikuwa naomba kuuliza kwa ambao washapata training,Ivi cost kwa process yote kuanzia training,kupata mentor out of capital ni ngap jumla?
Asanten
 
sihitaji kujifunza chochote mradi natengeneza pesa inatosha forex iwe betting iwe gambling iwe bibi yako sawa tu nguruwe wahed wewe
Huwezi tengeneza pesa bila kujifunza na inachukua muda mrefu kuelewa forex trading ni nini. Wewe dogo unaota ndoto za alinacha.

Nguruwe wahed kazi yake kula uchafu wowote anaokutana nao kama funza, mavi, maiti n.k. bila kutambua kama ni uchafu, sawa sawa na wewe unajitumbukiza kwenye uchafu wa Forex trading bila kujitambua.

Kwahiyo, kama uhitaji kujifunza chochote ili mradi unatengeneza pesa ambayo si kweli, basi wewe ndiyo GURUWE lenyewe chafu lililobobea!
 
Mwl.RCT

Wanajukwaa naomba mnisaidie kujua mwana jukwaa yeyote mwenye kujishughulisha na kutoa machapisho ya vitabu vya Forex kutoka softcopy kwenda kwenye hardcopy...

Natanguliza shukurani zangu za dhati.
 
Mwl.RCT

Wanajukwaa naomba mnisaidie kujua mwana jukwaa yeyote mwenye kujishughulisha na kutoa machapisho ya vitabu vya Forex kutoka softcopy kwenda kwenye hardcopy...

Natanguliza shukurani zangu za dhati.
mcheki >humble african< naamini atakusaidia sana.
 
mcheki >humble african< naamini atakusaidia sana.

Shukrani Mkuu kwa responce yako!

Nilimtafuta Mr Humble African ametanabaisha kuwa nakala zimeisha na kwa sasa anamajukumu mengine kidogo yanayomuweka Busy.

Hivyo nikaona nije kuulizia humu huenda kukapatikana na awaye yeyote mwenye kufanya kile Mr humble african anafanya.
 
Huyu jamaa mberoya ni mpuuzi sana anafaa kupuuzwa
Wewe naona unafurahi kuona nime comment something! Au unaleta chokochoko? Mimi sija comment chochote kustahili kupuuzwa! Sasa wewe from nowhere unataka nipuuzwe. Wewe una akili timamu? Badala ku concentrate na kuwa committed ktk forest trading unaleta ushuzi wako hapa! Au biashara ya kamali imekushinda?
 
jamani anae mjua broker xm kwa undani zaidi kuanzia ku deposit hadi ku verify na kadharika anipe detail kidogo
 
  • Thanks
Reactions: MCB
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom