Mberoya
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 1,314
- 822
Njaa unayo wewe, forex nafanya tena ndio biashara yangu mpaka kifo
Njaa unayo wewe, forex nafanya tena ndio biashara yangu mpaka kifo
Forex siyo biashara ni form of betting!Njaa unayo wewe, forex nafanya tena ndio biashara yangu mpaka kifo
safi vipi kwa siku unatengeneza faida ya shilingi ngapi. na ulianza na mtaji wa tsh ngapi na saizi una ngapi maana mi nataka kuanza ila nataka broker anae toa bonus nzuriNjaa unayo wewe, forex nafanya tena ndio biashara yangu mpaka kifo
Hawezi kukupatia jibu la ukweli. Yeye amejifunza uwongo kwa waongo. Kwahiyo, ni ngumu kupata ukweli kwao.safi vipi kwa siku unatengeneza faida ya shilingi ngapi. na ulianza na mtaji wa tsh ngapi na saizi una ngapi maana mi nataka kuanza ila nataka broker anae toa bonus nzuri
Uwongo wako ndiyo uwongo wa mabroker wote duniani!Njaa unayo wewe, forex nafanya tena ndio biashara yangu mpaka kifo
Uwongo wako ndiyo uwongo wa mabroker wote duniani!
Nime mention mabroker wote duniani waongo, ume step in kunifukuza Uzi huu. Tuwe na uwazi wa kuongea humu siyo one sided tu mkitaka kusikia positive na supporting statement za forex uchwala! Haondoki mtu humu unless ukweli ueleweke kwamba hii ni gambling.Acha Hizo Mambo Mberoya Mbona Watu Tunapiga Forex na Kazi Zetu Nyingine Kitaani Maisha Yanasonga Ww Kinachokuumiza Sisi Tukifanya Forex ni nini? unsubscribe Basi Huu Uzi Uende Zako.
Kumbe umeangalia video alafu unajigamba unapiga forex just like that. Kana kwamba ni rahisi saaana. Wacha hizo!Halafu Mberoya Hii Video Nimeiangalia Huyu Jamaa Anaitwa Andrew Lockwood Ni Mentor Mzuri tu wa Forex ana over 30 Years Of Experience kwenye hii Video anaelezea Vitu ambavyo Retail traders Wanakosea Mpaka Kushindwa Kufikia Financial Goals Zao.
Acha Hizo Mambo Mberoya Mbona Watu Tunapiga Forex na Kazi Zetu Nyingine Kitaani Maisha Yanasonga Ww Kinachokuumiza Sisi Tukifanya Forex ni nini? unsubscribe Basi Huu Uzi Uende Zako.
Kumbe umeangalia video alafu unajigamba unapiga forex just like that. Kana kwamba ni rahisi saaana. Wacha hizo!
Nime mention mabroker wote duniani waongo, ume step in kunifukuza Uzi huu. Tuwe na uwazi wa kuongea humu siyo one sided tu mkitaka kusikia positive na supporting statement za forex uchwala! Haondoki mtu humu unless ukweli ueleweke kwamba hii ni gambling.
Mberoya Forex is Neither Gambling Nor Betting ila
Forex Ni Career and Investment Kama Zinginezo.
Unaweza fanya business plan katika forex trading?? Labda broker anaweza fanya business plan kwa sababu yupo kama mtu wa commission!Mberoya Forex is Neither Gambling Nor Betting ila
Forex Ni Career and Investment Kama Zinginezo.
sasa yaan umeshindwa kabisa kujiongeza kwa kuperuzi mtandaoni na kupata taarifa sahihi ndo uje kuandika cha maana afu unaandika iki kweli??Ninachokiona katika hii business kuna mjanja mmoja ame create application ambayo atakuwa anaichezesha kwa watakao jiunga, halafu percentage fulani anatoa kwa baadhi ya watu, kumbuka kuwa unapoingia katika hii game tayari umepewa angalizo kuwa kuna kupata loss.
Kwa hiyo mhuu mchezo ni upatu fulani au tuseme kamali
Kwa hakuna cha kununua hela wala nini ni game tu ambayo inatumika kuwaibia watu hela, wanajua watu wanatamaa ya kupata hela kirahisi.
kwa hiyo forex ikiwa ni gambling wewe inakuuma nini? pesa zetu zikipotea inakuuma nini? fala weweNime mention mabroker wote duniani waongo, ume step in kunifukuza Uzi huu. Tuwe na uwazi wa kuongea humu siyo one sided tu mkitaka kusikia positive na supporting statement za forex uchwala! Haondoki mtu humu unless ukweli ueleweke kwamba hii ni gambling.
kwa hiyo forex ikiwa ni gambling wewe inakuuma nini? pesa zetu zikipotea inakuuma nini? fala wewe