Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Tofauti ipo kubwa sana Boss

Naweza nikasema hakuna sehemu yoyote duniani wanapofundisha Betting ila forex imejaa wakufunzi Kama TMT.

Bila Shaka umeipata point yangu Mkuu
Kwahyo huku kwenye forex ni uhakika kula hela kila siku yaani hakuna kuliwa???? Najua kuna mabaya ya forex, hembu anza kunielezea huko nijipange vizuri
 
Wakuu naomba kujua kama kuna umuhimu wa kujua FIBONACCI kwa ujumla ...kuna umuhimu kama sina mpango wa kutumia hiz level?
 
kama unaweza kutrade kwa naked yaani kwa candlesticks patterns na wicks(shadows) pamoja na support na resistance haina haja ya kutumia hizo indicators.
Lakini hizo(finobacci levels) husaidia kufahamu entry price na sehemu ya kuchukua profit, ila fibonacci ina mapungufu huwezi kuitumia yenyewe pekee ni muhimu kukombine finobacci na strategies zingine kama candlesticks na support/resistance.
 
Ahaa sawa mkuu tuko pamoja.
 
Ninachokiona katika hii business kuna mjanja mmoja ame create application ambayo atakuwa anaichezesha kwa watakao jiunga, halafu percentage fulani anatoa kwa baadhi ya watu, kumbuka kuwa unapoingia katika hii game tayari umepewa angalizo kuwa kuna kupata loss.

Kwa hiyo mhuu mchezo ni upatu fulani au tuseme kamali

Kwa hakuna cha kununua hela wala nini ni game tu ambayo inatumika kuwaibia watu hela, wanajua watu wanatamaa ya kupata hela kirahisi.
 
Sawa tumekuelewa endelea na mambo mengne
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom