Foreign donors threaten to reduce aid to tanzania

bmalale

Senior Member
Mar 30, 2011
466
24
Fed up with the rampant corruption in Tanzania, foreign donors are threatening to reduce their aid, according to an All Africa report. The frustrated donors include Canada, Denmark, the European Commission, Finland, Germany, Ireland, Japan, the Netherlands, Norway, Sweden, Switzerland, Britain and the World Bank.

Source: THE EAST AFRICA TIMES
 
hata hivyo tumezidi! mawaziri mizigo, wakurugenzi mizigo, wizi mtupu
 
Sasa sisi tutaendelea kuwasujudia wao mpaka lini pamoja na mali zote hizi Mungu alizoikirimia Tanzania?
 
Hawawezi kupunguza hao

Wana maslahi makubwa sana kwenye hili shamba la bibi

Unataka mirija yao ikatwe??

Wenye maslahi makubwa na hii nchi siyo hao wakiotajwa hapo juu, tena wenye maslahi makubwa na hii nchi hata hawatusaidii sana zaidi ya kutuvuna tu
 
Back
Top Bottom