Je wanalipa kodi ya VAT na kodi nyinginezo? Je wanapima ubora wa vifaa? Je wanakata leseni ya biashara? Wanazingatia usalama kazini?
Bila mzunguko wa hela kwa kulipa kodi itafika mahali watakosa hela ya kuendelea kulipia hiyo miradi!
Msishangae wakati wa JPM alikuwa anasimamia na kutoa pesa mwenyewe SGR, bwawa la mwalimu Nyerere, ghorofa za Magomeni Kota na chuo kikuu cha DSM n.k. Ukizembea mahali alikuwa anakutumbua hapo hapo!!!