Forbes yaitaja Tanzania kuwa Nchi ya Pili Duniani inayofaa kutembelewa mwaka 2021

Forbes yaitaja Tanzania kuwa nchi ya pili duniani inayofaa kutembelewa mwaka 2021

Jarida la Forbes limetaja orodha ya nchi 21 duniani zenye maeneo mazuri zaidi ya kutembelewa kwa mwaka 2021. Maldives kisiwa kidogo kilichoko kwenye bahari ya Hindi imetajwa ya kwanza kwenye orodha hiyo, na Tanzania hasa mbuga ya wanyama ya Serengeti imetajwa kuwa ya pili inayofaa kutembelea. Nchi nyingi ya Afrika Mashariki iliyopo kwenye eneo hilo ni Rwanda ambayo iko kwenye nafasi ya saba.

Orodha ya kumi bora ni pamoja na
1. Maldives
2. Tanzania (Serengeti)
3. Antarctica
4. Ziwa Powell katika jimbo la Utah Marekani,
5 Bonde la Jackson, Wyoming
6.Cucso Peru
7. Rwanda
8. Denali National Park, Alaska
9. Porto Cervo, Italy
10. Sonoma County, California.


Chanzo cha Habari CRI Kiswahili

View attachment 1633391


--------------------------

2. Serengeti, Tanzania​


Why? The Serengeti ecosystem is a 12,000-square mile region of northern Tanzania, including the Serengeti National Park. The Serengeti hosts the second largest terrestrial mammal migration in the world, which makes it one of the Seven Natural Wonders of Africa, and as one of the ten natural travel wonders of the world. "The savannah stretches out in grasslands, open plains, and rivers," says Joyce Novick, a luxury travel consultant at Ovation Travel Group. "It's the perfect place to host the diverse animals — lions, buffalo, wildebeest, gazelle and elephants that come each year in search of food."

Who should go? Animal lovers of all ages.

Don't miss: The wildlife. This is the perfect way to immerse yourself in the animal kingdom and to reflect on your place in the environment.

Soma Zaidi: https://www.forbes.com/sites/christ...top-21-destinations-for-2021/?sh=16ba2ad7545d
👍👍👍
 
Huu udikteta uchwara wa Mbowe na Lisu wa kuzuia wabunge wa viti maalum kisa wao wameshindwa lazima upingwe na kila mtu
Wanawake wa chadema andamaneni kufuata haki zenu
 
wanabebwa to.. chimpanzee wengi wapo rubondo kwa afrika na ndo Dr Leakey anawafanyia research zaidi y'all miaka 40 Tanzania ni garden of eve
Wana mbuga nzuri ya masokwe (Chimpanzees)
 
Back
Top Bottom