Forbes yaitaja Tanzania kuwa Nchi ya Pili Duniani inayofaa kutembelewa mwaka 2021

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
571
1,000
Forbes yaitaja Tanzania kuwa nchi ya pili duniani inayofaa kutembelewa mwaka 2021

Jarida la Forbes limetaja orodha ya nchi 21 duniani zenye maeneo mazuri zaidi ya kutembelewa kwa mwaka 2021. Maldives kisiwa kidogo kilichoko kwenye bahari ya Hindi imetajwa ya kwanza kwenye orodha hiyo, na Tanzania hasa mbuga ya wanyama ya Serengeti imetajwa kuwa ya pili inayofaa kutembelea. Nchi nyingi ya Afrika Mashariki iliyopo kwenye eneo hilo ni Rwanda ambayo iko kwenye nafasi ya saba.

Orodha ya kumi bora ni pamoja na
1. Maldives
2. Tanzania (Serengeti)
3. Antarctica
4. Ziwa Powell katika jimbo la Utah Marekani,
5 Bonde la Jackson, Wyoming
6.Cucso Peru
7. Rwanda
8. Denali National Park, Alaska
9. Porto Cervo, Italy
10. Sonoma County, California.


Chanzo cha Habari CRI Kiswahili

FB_IMG_1606162863099.jpeg--------------------------

2. Serengeti, Tanzania​


Why? The Serengeti ecosystem is a 12,000-square mile region of northern Tanzania, including the Serengeti National Park. The Serengeti hosts the second largest terrestrial mammal migration in the world, which makes it one of the Seven Natural Wonders of Africa, and as one of the ten natural travel wonders of the world. "The savannah stretches out in grasslands, open plains, and rivers," says Joyce Novick, a luxury travel consultant at Ovation Travel Group. "It's the perfect place to host the diverse animals — lions, buffalo, wildebeest, gazelle and elephants that come each year in search of food."

Who should go? Animal lovers of all ages.

Don't miss: The wildlife. This is the perfect way to immerse yourself in the animal kingdom and to reflect on your place in the environment.

Soma Zaidi: https://www.forbes.com/sites/christ...top-21-destinations-for-2021/?sh=16ba2ad7545d
 

cyprian ndaki

New Member
Oct 26, 2013
3
20
Mara nyingi dalili za kutoa sifa kwa nchi yetu hasa katk kipindi hiki! inareflect mambo MENGI sana! hivy wanaohusika kule frontline, wawe na umakini sana! na kama tunavyojua these people wanakuaga na mipango ya MUDA MREFU!
 

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
6,471
2,000
Mataga wanafurahia taarifa hii ya Forbes (wazungu), lakin hao hao wazungu watakaposema Tanzania ni nchi ya hovyo kutembelewa mataga watatoa povu kwamba hii ni vita ya kiuchumi, mabeberu wayatutakii mema. Hawataitwa Forbes ama wazungu tena bali wataitwa mabeberu
 

IROKOS

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
9,474
2,000
Basi hapo kuna watu wanaumia sana roho zao yani, inasikitisha
Kuwa mpinzan sio justification ya kulichukia Taifa lako
Utachukia kwa lipi wakati hata wangekuja watalii milioni 50 bado pale mtaani kwako au kijijini kwenu hakutabadolika chochote is a au wewe hutakatiwa hata laki moja Ni juhudi zako binafsi ndizo zitakazo kutoa kwenye umasikini ulionao, kama ambavyo wenzako hao wanasiasa wanauana kwenda mjengoni ili wanufaike na familia zao na matumbo yao. Si umesikia majuzi yalivyolalama eti kwa nini pesa za kununua magari imepungua toka milioni 90 mpaka milioni 50? Yaani wakati wewe unahangaika ununue bodaboda ya mtumba ya laki 7 huu mwaka wa kumi hujaipata, mwenzio wa lumumba analalamika 50 milion haitoshi kununua gari!!! KALAGABAHO!!!!
 

Destruction

Member
Feb 3, 2020
91
150
Utachukia kwa lipi wakati hata wangekuja watalii milioni 50 bado pale mtaani kwako au kijijini kwenu hakutabadolika chochote is a au wewe hutakatiwa hata laki moja Ni juhudi zako binafsi ndizo zitakazo kutoa kwenye umasikini ulionao, kama ambavyo wenzako hao wanasiasa wanauana kwenda mjengoni ili wanufaike na familia zao na matumbo yao. Si umesikia majuzi yalivyolalama eti kwa nini pesa za kununua magari imepungua toka milioni 90 mpaka milioni 50? Yaani wakati wewe unahangaika ununue bodaboda ya mtumba ya laki 7 huu mwaka wa kumi hujaipata, mwenzio wa lumumba analalamika 50 milion haitoshi kununua gari!!! KALAGABAHO!!!!
Hahahah majibu Ninayo Lakini hata siwez kujiangaisha kujibu
 

std7

JF-Expert Member
May 6, 2011
501
500
Serengeti INA tuzo ya mbuga bora afrika 2019 na 2020. Serengeti pia imeshika namba 2 sehemu bora duniani ya kutembelea 2021. Zara pia wana tuzo ya kimataifa ya mlima Kilimanjaro.. Haya yote yanaweza kosa maana endapo serikali haitakuwa makini kwenye teuzi zinazousu sekita ya mali asili na utalii. Pia tuwekeze tutumie wasanii wa kitaifa na kimataifa kutangaza vivutio vyetu, wanamichezo wakitaifa na kimataifa viwanja vya mpira kama epl, bundasliga, na laliga.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom