Forbes: Orodha ya wasanii 25 wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani mwaka 2012

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Dr+Dre.jpg

Jana jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii 25 duniani wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani. Hawa ndio walioingia kwenye orodha hiyo.
1. Dr Dre ($110million)
2. Roger Waters ($88 million)
3. 3. Elton John ($80 million)
4. U2 ($78 million)
5. Take That ($69 million)
6. Bon Jovi ($60 million)
7. Britney Spears ($58 million)
8. Paul McCartney ($57 million, tie)
9. Taylor Swift ($57 million, tie)
10. Justin Bieber ($55 million, tie)
11. Toby Keith ($55 million, tie)
12. Rihanna ($53 million)
13. Lady Gaga ($52 million)
14. Foo Fighters ($47 million)
15. Diddy ($45 million, tie)
16. Katy Perry ($45 million, tie)
17. Kenny Chesney ($44 million)
18. Beyoncé ($40 million)
19. Red Hot Chili Peppers ($39 million)
20. Jay-Z ($38 million)
21. Coldplay ($37 million)
22. Adele ($35 million, tie)
23. Kanye West ($35 million, tie)
24. Michael Bublé ($34 million)
25. Sade ($33 million)
 
tena hizo pesa wanazoingiza kwa mwaka mmoja,wenzetu wako mbali,ninachopendea marekan ukiwa na kipaji uwez lala njaaa
 
halafu wakasema hip hop haiuzi...
Haya Dr Dre yupo nafasi ya kwanza...je anatengeneza na kuimba nini?
 
Dr. Dre ni producer ndo inayomlipa sana kuliko hio hip hop.
note that.
 
Dr. Dre ni producer ndo inayomlipa sana kuliko hio hip hop.
note that.


Pia anauza vifaa BORA SANA mbalix2 vya music, mfano headphones, earphones, cd players, speakers bei juu USA ni za Dr. Dre.... zina ubora sana...
 
Ina mana lil wayne na kina rick ross bado hawajaingia kwenye top?
Cash money kumbe kelele tu hamna lolote
 
Huku bongo diamond kanunua prado kajiona amefiiika anaanza kuonyesha makalio jukwaani
 
Post imekosewa..sio kulipwa on music only!! Mapato overall..pamoja na business zingine.. Mfano ukicheki 80% ya hizo pesa za dre ni mingle zake za electronics.
 
.Post imekosewa.ulipwa on music only!! Mapato overall..pamoja na business zingine.. Mfano ukicheki 80% ya hizo pesa za dre ni mingle zake za electronics.

sasa nani amekosea,umesoma vizuri kichwa cha habari? kuna sehemu wameandika malipo ya music only? nimesema orodha ya wasanii 25 wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani mwaka 2012 sijasema ni kwa music pekeee,natumain umenielewa sasa
 
sasa nani amekosea,umesoma vizuri kichwa cha habari? kuna sehemu wameandika malipo ya music only? nimesema orodha ya wasanii 25 wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani mwaka 2012 sijasema ni kwa music pekeee,natumain umenielewa sasa
Good one kaka!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom