Forbes: Kenya ni nchi hatari ya 7 duniani kuishi, worst roads, traffic, dirty, robbery šŸš„šŸ˜¢

REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,925
14,880
A new survey done by InterNations, a global community and information site for people who live and work abroad and published by Forbes, has ranked Kenya the 7th ā€˜most dangerousā€™ country to live in, in the world.

The results are part of InterNationsā€™s latest Exparts Insider Survey, a comprehensive report on what itā€™s like to live and work abroad in 64 countries around the world.

For the 2019 survey, InterNations polled 20,259 expats representing 182 nationalities and living in 187 countries or territories, covering topics such as quality of life, cost of living, personal finance and more.

According to the report, Nairobi is a more dangerous place to live in compared to Mogadishu, Syria, Tripoli, Baghdad, Bujumbura and Kabul in Afghanistan.

Majority of respondents complained that Kenyan streets feel unsafe and they cannot go out for walks freely as they wish as one has to be vigilant.

Also Read
MWANANCHI FORUM: The question of resources in learning
Wife of murdered Dutch tycoon issues demands ahead of autopsy
S.Africa extends army's Cape Town crime crackdown
South Africa apologises to Nigeria after anti-migrant violence
A Danish expat, according to Forbes, complained that walking around Kenyan streets is a ā€˜Noā€™ for them and that they have to drive or be driven everywhere.

Another expert from Croatian said that foreigners in Kenya are easily conned, if not robbed as there already exists a notion among Kenyans that foreigners are wealthy.

TRAFFIC JAM

Police officers demanding bribe on non-existing charges was also mentioned as another contributor that has Kenya ranking so high on the most dangerous places to live.

ā€œThe roads are in an awful state, traffic is just terrible, and the city is dirty!ā€ another expat said.

Brazil was ranked as the most dangerous country, with South Africa, which has recently been rocked by xenophobic attacks, coming second.

Nigeria was third while Peru came in fourth, India was fifth followed by Turkey and Argentina in that order.

Egypt, at position eight, is considered unsafe because of political instability while the Dominican Republic, at position nine, lacks security according to expats.

Colombia was ranked 10th with expats complaining of cases of robbery and personal safety.
 
Kumbe nairobi inawaumiza vichwa

On a serious note, ninawajua watu wawili wali uliwa Nairobi. My schoolmate na my neighbour, young and potential brothers. Wote walikua undergraduate students waliuliwa na vibaka (wakora).
 
...Nilitaka mwakani nianze kuleta mchele Kenya ila naanza pata wasiwasi wa kibiashara.
Yaani usijaribu kabisa, kuna jamaa yangu alikua anafanya biashara ya kupeleka Vitunguu, kawaida alikua anapeleka mzigo na kupewa pesa nusu, anapopeleka mzigo mwengine, anachukua ile nusu iliyobaki na nusu ya mzii huu mpya.

Kitu cha kushangaza Mara ya mwisho yule jamaa alimlipa pesa yake yote, yaani ile nusu, na pesa yote ya mzigo huu mpya, jamaa hakumsindikiza kabisa siku hiyo, wakati anashuka kwenye tax ili akapande bus, alipigwa risasi mchana kweupe na wakachukua hiyo pesa.

Nenda pale Ilala sokoni ulizia hiyo story kwa wafanya biashara wa Vitunguu watakuambia,hakuna hata mmoja pale anataka kufanya biashara na Kenya. Sasa hivi wanapeleka Uganda.

Kabla ya hapo kuna mume wa shemeji yangu walimnyonga na maiti yake kuokotwa porini, rafiki zake wa Kenya walikamatwa na kuweka ndani, lakini sheria za Kenya zinatoa dhamana kwa wauwaji, sasa hivi wapo nje.

KENYA NI HATARI SANA USIJARIBU
 
umenifungua sana akili , nilitaka nifanye Michele kwa sabbu bei ya Kenya kwa Michele inasimama vzr .na nimeangalia kwa Uganda naona hazina tofauti na hapa nchini faida ni ndogo sana

Haya ni maoni ya watu tu. Msitutishe na maoni. Kila mtu ana maoni yake kuhusu mambo fulani. Kwa mfano mimi ninaweza kuwa na maoni kuwa Watanzania ni wachafu. Hio inaweza kuwa ni uongo lakini hio hainizuii kutangazia dunia nzima kwamba mimi naamini Watanzania ni wachafu. Watu wengine wakisikia maoni yangu wanaweza niamini kisha waanze kutangaza kuwa Watanzania ni wachafu. Lakini usisahau kuwa sio kweli hata kidogo eti Watanzania ni wachafu kwani hakuna utafiti uliofanywa kwenye ground kudhibitisha hili na kulinganisha uchafu wa TZ na wa UG au uchafu wa TZ na KE.
 
Jaribuni kufanya biashara ambazo hazihusishi kushika pesa, tumieni sana Bank au mobile Money.

Kitu ambacho kinafanya Kenya watoe bei nzuri, ni pamoja na kwamba, wanatafuta masoko nje ya Kenya, kwahiyo wakinunua Vitunguu au Mchele, wanafungasha upya na kuuza nje ya Kenya.

Soko la vyakula ni kubwa sana duniani. Nenda pale ubalozi wa Japan wanapenda sana mchele wa Tanzania, wanaweza kukusaidia jinsi ya kupata soko la Japan, jaribu usiogope, kwa sasa sahau kabisa Kenya.
 
On a serious note, ninawajua watu wawili wali uliwa Nairobi. My schoolmate na my neighbour, young and potential brothers. Wote walikua undergraduate students waliuliwa na vibaka (wakora).
Wewe ningependa kujua story yako. Mtanzania aliyeishi Kenya kwa muda mrefu mpaka akasahau kiswahili cha Tanzania na kujipata akiongea Sheng' ya Kenya.
 
Yaani usijaribu kabisa, kuna jamaa yangu alikua anafanya biashara ya kupeleka Vitunguu, kawaida alikua anapeleka mzigo na kupewa pesa nusu, anapopeleka mzigo mwengine, anachukua ile nusu iliyobaki na nusu ya mzii huu mpya.

Kitu cha kushangaza Mara ya mwisho yule jamaa alimlipa pesa yake yote, yaani ile nusu, na pesa yote ya mzigo huu mpya, jamaa hakumsindikiza kabisa siku hiyo, wakati anashuka kwenye tax ili akapande bus, alipigwa risasi mchana kweupe na wakachukua hiyo pesa.

Nenda pale Ilala sokoni ulizia hiyo story kwa wafanya biashara wa Vitunguu watakuambia,hakuna hata mmoja pale anataka kufanya biashara na Kenya. Sasa hivi wanapeleka Uganda.

Kabla ya hapo kuna mume wa shemeji yangu walimnyonga na maiti yake kuokotwa porini, rafiki zake wa Kenya walikamatwa na kuweka ndani, lakini sheria za Kenya zinatoa dhamana kwa wauwaji, sasa hivi wapo nje.

KENYA NI HATARI SANA USIJARIBU
expand...
Mume wa shemeji yako atakuwa ndugu yako. Yaani hujui kiswahili au hadithi yenyewe ni ya uongo tu. Mbona usingesema ndugu yangu mara moja badala ya kusema mume wa shemeji yangu? Hadithi hio ina utata na tashwishi.
Na wewe kilam usiwe unalike comment za uongo ovyo ovyo tu. Tumia akili saa zingine. Nktlogistics wewe usiwe na kiwewe. Huyo jamaa anadanganya mpaka anasahau kuwa mume wa shemeji yake ni ndugu yake wa toka nitoke.
 
Haya ni maoni ya watu tu. Msitutishe na maoni. Kila mtu ana maoni yake kuhusu mambo fulani. Kwa mfano mimi ninaweza kuwa na maoni kuwa Watanzania ni wachafu. Hio inaweza kuwa ni uongo lakini hio hainizuii kutangazia dunia nzima kwamba mimi naamini Watanzania ni wachafu. Watu wengine wakisikia maoni yangu wanaweza niamini kisha waanze kutangaza kuwa Watanzania ni wachafu. Lakini usisahau kuwa sio kweli hata kidogo eti Watanzania ni wachafu kwani hakuna utafiti uliofanywa kwenye ground kudhibitisha hili na kulinganisha uchafu wa TZ na wa UG au uchafu wa TZ na KE.
Forbes sio mtu mmoja au wawili, " It is a professional and well respected international organization ". Ukiacha Forbes, World Peace Index(WPI) na Human right watch(HRW), wote wanasema Kenya usalama ni mbaya sana, hao pia ni maoni?. Sasa unataka dunia itumie kifaa gani kupima amani duniani kama sio kwa kutumia na kuwauliza watu?
 
Mume wa shemeji yako atakuwa ndugu yako. Yaani hujui kiswahili au hadithi yenyewe ni ya uongo tu. Mbona usingesema ndugu yangu mara moja badala ya kusema mume wa shemeji yangu? Hadithi hio ina utata na tashwishi.
Dada wa mke wangu, Mimi ninamuita shemeji, aliyeuliwa ni mume wa Dada wa MKE wangu, kwa lugha ya ndani ni mume mwenza, japo haitumiki sana.
 
Jaribuni kufanya biashara ambazo hazihusishi kushika pesa, tumieni sana Bank au mobile Money.

Kitu ambacho kinafanya Kenya watoe bei nzuri, ni pamoja na kwamba, wanatafuta masoko nje ya Kenya, kwahiyo wakinunua Vitunguu au Mchele, wanafungasha upya na kuuza nje ya Kenya.

Soko la vyakula ni kubwa sana duniani. Nenda pale ubalozi wa Japan wanapenda sana mchele wa Tanzania, wanaweza kukusaidia jinsi ya kupata soko la Japan, jaribu usiogope, kwa sasa sahau kabisa Kenya.
Nenda kwa embassy ya Japan hahaha utauza mchele sana hahaha. JF ina comedy šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£ Nktlogistics
 
Forbes sio mtu mmoja au wawili, " It is a professional and well respected international organization ". Ukiacha Forbes, World Peace Index(WPI) na Human right watch(HRW), wote wanasema Kenya usalama ni mbaya sana, hao pia ni maoni?. Sasa unataka dunia itumie kifaa gani kupima amani duniani kama sio kwa kutumia na kuwauliza watu?
Wanaeza tumia crime statistics ambazo serikali inakusanya kwa mfano police records za nchi mbalimbali.
 
Hahahaha, wewe unachekesha sana, unadhani crime statistics pekee ndio inaonyesha kwamba nchi ina amani au aina?, au unadhani Forbes, WPI na HRW hawajui hilo?.

Rwanda kwa mfano, crime ipo chini sana, lakini bado kwenye ripoti ya WPI bado haifanyi vizuri. Ukisoma hiyo ripoti ya Forbes, wametumia vipengele Vingi sana vikiwemo usalama barabarani, ubora wa barabara na magari yenyewe.

Sidhani kama ni muhimu kuendelea na "Denial". Kitu muhimu kwa sasa ni kuangalia maeneo ambayo hao wageni elfu 20 wameyataja ili kuyafanyia Kazi.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom