For whom leaving In UK.Kuagiza gari kutoka UK

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Hello Gentleman and ladies, nimeona gari ambayo nimeipenda nataka kuinunua, Naombeni msaada wenu kwa wale ndugu zangu wapendwa wanaoishi The United kingdom wanisaidie kuniepusha na kuingia choo cha kike ,Naombeni waniangalie hii website kama ni watu WAAMINIFU au sio WAAMINIFU
www.geoff-sipson.co.uk
Asante sana waungwana .
 
Rekebisha heading kiingereza cha wapi hicho ndugu eti "For whom leaving in UK" Ungeandika kwa Kiswahili tu kuliko kukosea hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom