For those who believe Disney is the thing, think twice: It is a Pedophile and LBGT community

Kwanini mkishindwa hoja mnaanza kuita watu mashoga? Mimi nina exposure ya kutosha so naheshimu uhuru wa mtu as long as hauniathiri. Sasa toka lini ukisema hilo unakua shoga?

Co-existence yenyewe si ndio hivi unatumia google ingawa Ina support ushoga. Kama sio unafiki ni nini? Kma hupendi co existence acha kuangalia EPL na kutumia google au kutumia windows maana zote hizo Zina support gay rights!!
Kwa hiyo tuhame duniani,kwa sababu kuna waovu,hapana kwa kuwa hatuwezi.Ila kwa kuwa tunajua uovu sio mapenzi ya Mungu,lazima kila wakati tujaribu kuwarudisha walio kinyume na Mungu kwenye msitari,kwa kuwa dhambi ina cost:eternal death.Wala sio unafiki,ni moral duty.
 
Kwa hiyo tuhame duniani,kwa sababu kuna waovu,hapana kwa kuwa hatuwezi
Unapingana na Bible? Mungu mwenyewe atatuondoa ulimwenguni kabla ya dhiki kuu kwanini asituache Ili hao waovu waokoke kwanza?? Au kwanini alimtoa Nuhu na Lutu kabla hajaangamiza kizazi Cha wenye dhambi?

Uovu ulifika utimilifu there's is no saving Bali hukumu tu..... So unajiokoa ww na kizazi chako pekee.

So kimaandiko upo very wrong, maana unataka kupingana na mwenye dunia yake atakayewaondoa kabla ya utawala wa mpinga kristo!!

In fact hata baada ya miaka 1000 ya utawala wa Mungu hapa duniani atamruhusu shetani kudanganya 3/4 ya ulimwengu sasa kama Mungu mwenyewe anaruhusu uovu uenezwe na shetani ww ni nani uokoe huo ulimwengu? Kwamba Una uchungu kuliko atakayeruhusu dunia nzima idanganywe?
 
Nilikuwa na maana at this point in time.Najua tupo safarini na makao yetu ya kudumu ni Mbinguni.Ila sijui wewe ambaye unashabikia na kujengea mahekalu uovu.
 
Kwa hiyo hizo taarifa zote kwenye post ni za uongo!Lakini mimi mbona nikiangalia Disney naona ushenzi mwingi sana.Lots of satanic symbols,witchcraft,sorcery,homosexual gestures you name it.Nadhani kuna shida ya ufahamu.

Finally,
kuna alot of deliberate satanic behaviour impertation by telepathic communication to viewers hasa watoto,infact this is the most serious part of Disney.Unashangaa mtoto kapata tabia za hovyo,lakini hujui kapata wapi,kumbe kapandikiziwa mapepo na Disney.Wazazi tujitahidi kujifunza mambo,tupo very uninformed about many issues which are important to ourselves,families and friends.Telepathic communications to humans by demons and even demon possession by watching satanic cartoons or films is real.
Pepo litoke kwenye TV limwingie mtu?
😏😏😏😏
#YNWA
 
Pepo litoke kwenye TV limwingie mtu?
😏😏😏😏
#YNWA
Aisee,huo ndio ukweli.Pepo sio physical,kwa hiyo usidhani kwamba kwa kuwa wewe huwezi basi pepo nalo haliwezi,you are very misguided,linaweza.So what does this mean ukiangalia tamthilia ya ngono,pepo la ngono linakuingia nk.nk.So wakatazeni watoto wasiangalie tamthilia zenye maudhui ya ngono,violence na uovu wowote mwingine,it is dangerous for their moral values.Hizo tunaziita daraja za mapepo kuweza kupita na kumuingia mtu.What makes humanity evil:TV,the internet etc.
 
That's Why nikashauri maadam family Yako au ww haudhuriki then jifunze tu coexistence nao kma tu mnavyoishi na wauza uchi, wagonjwa wa ukimwi or any other thing unachoona hakifai duniani n.k.

Atakuelewa pale atakapohitaji kufanya hivo,, but umemueleza very Clear...

Hii Dunia kuna vitu vinatokea na hakuna jambo atafanya kuvizuia visitokee... La maana na msingi ni yeye kusaidia kizazi chake kisikutwe na hayo madhila.

Kwasasa makampuni ya magharibi almost yote yana support hayo matakataka,, Je tuache kutumia bidhaa zao??? Yaani tuache kutumia Google kwa sababu wanasapoti ushoga??

Ni kujilinda tu kadri ya mipaka yako inapoishia,,, unapoweza kubadilisha basi fanya hvo BUT huwezi ku change Dunia nzima.. Wenye hizo agenda walianza miaka mingi iliyopita so the roots are very Long
 
Aisee,huo ndio ukweli.Pepo sio physical,kwa hiyo usidhani kwamba kwa kuwa wewe huwezi basi pepo nalo haliwezi,you are very misguided,linaweza.So what does this mean ukiangalia tamthilia ya ngono,pepo la ngono linakuingia nk.nk.So wakatazeni watoto wasiangalie tamthilia zenye maudhui ya ngono,violence na uovu wowote mwingine,it is dangerous for their moral values.Hizo tunaziita daraja za mapepo kuweza kupita na kumuingia mtu.What makes humanity evil:TV,the internet etc.
We ni kilaza mmoja hivi usiye na akili ,
 
We ni mpuuzi , Huna akili , Acha kutumia na Google bwege wewe
Hivi unajua wewe ndiye bwege,yaani una-connect vitu ambavyo havihusiani.Kwa hiyo kwa kuwa natumia Google,nivumilie uovu wanaofanya watu wa Google!!Hovyo kabisa.
 
Time will tell..... nani alijua Saudi Arabia itaruhusu concert za mziki wa rap, ama movie za wamarekani?

Wave ya capitalism (inayotaka maamuzi binafsi ya mtu yasiingiliwe na serikali whether bei, umiliki, uwekezaji n.k) vimeimeza ujamaa na sera zote za kisoshalisti (zilizotaka maamuzi yote yatoke kwa wakuu wa nchi na sio kupitia demokrasia n.k )

Ndio maana utaona kelele za mazingira, wanyama, ubaguzi wa rangi, ushoga, wanawake 50-50 zilianzia hapo.

So hoja yangu ni kwamba as long as West itaendelea kutanua ushawishi then haya mambo yatashamiri zaidi. So hao Disney utawaaonea tu
50-50, halafu wakawaruhusu wanawake wakimbie kule Ukraine ila wakazuia wanaume wasiondoke
Au hii 50-50 haihusishi uhai
 
Kweli watu wamefungwa hawajitambui, unajisikiaje mtoto wako anaangalia cartoon ya mwanaume anamuoa mwanaume, unajisikiaje mtoto wako anaangalia cartoon ya mapepo au cartoon zinauana? Hakuna cartoon nzuri hata moja zote zina roho chafu nyuma yake
 
Kiujumla Western things kuanzia Mainstream Media, Social Media, Sports and Entertainment Industry (including Movies, Music etc) lengo lao kubwa ni kueneza ushenzi wao duniani.

Hakuna zuri kwa hao watu. Wazazi tuna changamoto kubwa sana kulea zama hizi.
Haki za mashoga, wanawake,watu weusi zinaenda pamoja, kuna wenzako kama wewe wanaamini kumpa haki mwanamke au mtu mweusi ni kueneza ushenzi pia, usitake haki upande wako tuu angalia na wengine ( i assume wewe ni mweusi)
 
Mkuu kama binadamu tuna moral values ambazo zinakubalika,ila tukienda hivyo tutahalalisha kila kitu,na nadhani tukifika huko hatutakuwa binadamu tena,but worse than animals.Infact even now we are worse than animals,kwa kuwa wanyama kwa mfano hawalawitiani,lakini binadamu wanalawitiana.Shameful indeed.

Mwisho naomba uelewe kwamba tabia hizo zina ambukiza,so tukiacha tabia hizo unchecked,hatimaye kila mtu atakuwa homosexual,na sidhani kama tunataka tufike huko kama jamii.
 
Back
Top Bottom