Boss maswala ya wao kulawitiana hayatuhusu ni mambo ya vyumbani kwao, na sijui kama unaelewa hao jamaa wanapigania haki gani, hivi unajua before movement yao ya kudai haki watu walikuwa wanawanyima kazi kwa sababu tuu ni mashoga? wengine walikuwa wanatukanwa mitaani na kudhihakiwa waziwazi au kunyimwa huduma kama wengine, watu weusi walikuwa wanafanyiwa hayo mambo kabla ya civil rights movements, nafikiri as human ni vizuri kuwa na decency kwa watu wengine bila kujali rangi yao au ushoga, huo ushoga watajibu kwa mungu wao sio kwetuMkuu kama binadamu tuna moral values ambazo zinakubalika.Tukienda hivyo tutahalalisha kila kitu,na nadhani tukifika huko hatutakuwa binadamu tena,but worse than animals.Infact even now we are worse than animals,kwa kuwa wanyama kwa mfano hawalawitiani,lakini binadamu wanalawitiana.Shameful indeed.