for the first time chit chat

Naibili

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
1,730
519
Heshima kwenu wana chit chat,
Tangu nimejiunga na Jf, Jan 2011, leo ni mara yangu ya kwanza kuingia jukwaa hili, inawezekana nikawa nmeshaingia, itakuwa kwa mlango wa nyuma (latest), lakini kwenda moja kwa moja chi chat hapana, sababu zaweza kuwa sifahamu utamu wa chit chat, nihabarisheni wadau wa chit chat, yawezekana nikawa mwenzenu humu.
aksante.

hilo neno hilo duuuhhh
Hata hivyo karibu sana kuna akina Erickb52, Arushaone. PakaJimmy, Preta, sweetlady, Dena Amsi, na wengine watakukaribisha sana

Last edited by a moderator:
Naibili karibu sana chit chat mkuu, huku ni stress free zone, ukimpenda mtu huku ukataka kurasmisha hakikisha unaniona mwenyekiti wa mahusiano na ndoa hapa cc

Mkuu umemaliza. Naongezea kwa kusema karibu sana!

Last edited by a moderator:
By Naibili

Heshima kwenu wana chit chat,

Tangu nimejiunga na Jf, Jan 2011, leo ni mara yangu ya kwanza kuingia jukwaa hili, inawezekana nikawa nmeshaingia, itakuwa kwa mlango wa nyuma (latest), lakini kwenda moja kwa moja chi chat hapana, sababu zaweza kuwa sifahamu utamu wa chit chat, nihabarisheni wadau wa chit chat, yawezekana nikawa mwenzenu humu.

aksante.

hilo neno hilo duuuhhh

Hata hivyo karibu sana kuna akina Erickb52, Arushaone. PakaJimmy, Preta, sweetlady, Dena Amsi, na wengine watakukaribisha sana
haah kati ya maneno yote umeona mlango wa nyuma, lakini asante mkuu

Naibili karibu sana chit chat mkuu, huku ni stress free zone, ukimpenda mtu huku ukataka kurasmisha hakikisha unaniona mwenyekiti wa mahusiano na ndoa hapa cc

stress free zone nmeipenda hiyo

Last edited by a moderator:
Karibu sana Naibili....

Afu Mr Rocky mgeni ni wa jinsia gani? Si unajua ndoa ya Filipo na marejesho iko mbioni kuvunjika? Nataka nimshikie marejesho nafasi.

COPY kwa nitonye!

Naibili sisi tukitoka siasani huja hapa tunapiga soga weee mpaka tunarara na wake zetu, humu hutakiwi umvamie mke/mume wa mtu utapewa BAN fasta.

Baada ya hayo nakukaribisha rasmi kwenye Jamuhuri Ya Muungano Ya Chit-Chat ambayo mimi ndiye President.
Source: Mungi

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom