For Teamo and Co: Baadhi ya imani potofu kuhusu uzazi na watoto

na kumpaka mtoto wanja aidha kwenye nyusi nao kunazuia nini? waswahili twapenda sana!!

namaba nne ya kwanza kweli ni mambo impossible......sasa utakuwa watafuta nini duh!!! iamani zingine we acha tu!

zongo...eti mtu akimwangalia kwa jicho baya balaa licmpate mtoto, khaa uswahili wanaitumia hii formula sana, unakuta mtoto kakandikwa miwanja utasema mcheza shoo wa twanga.
 
hiyo no mbli kuhusu mambo ya watoto hata mie niliambiwaga hilo, bac nilikuwa clali nasubiria kicjeniletea maafa kwa mtoto...hivi ni imani tu au? DC unajua kama kikidondokea bahati mbaya unafanyaje? yaani nilivyambiwa ndio nikafanya kukesha kabisa...naku pm.

Nyamayao unaamini hiyo kitu?
 
Haaa,

kwani wewe umetokea wapi nchi hii,

Tena kuna nyingine zinazidi kunijia. Nitazidi kuziweka hapo.

THOSE ARE MYTHS............... na zipo nyingi tu
1. jicho la juu likicheza utamuona mtu uliepotezana nae kwa muda mrefu
2. jicho la chini likicheza utapata msiba
3. mkono ukikuwashwa utatoa pesa
4. mguu ukikuwasha utasafiri
5 viatu vikipandiana utasafiri
6. **** likicheza uta*******
7. kama unamfata mtu ukipigia chafya humkuti na ukipiga mara mbili basi unaweza ukamkuta au usimkute.
8. Kama unaenda safari njiani akalia dudumizi basi ujue malengo yako hayatatimia
9. Mjukuu akichungulia kilindo (ghala) la chakula mtaingiwa na njaa
10. kama mnawinda ukiona wanyama wanapandana ujue mmoja wenu kaingiza mwanaume mlipoondoka!
11. Kwa ndugu zetu wapare ni kama kawa baba kula faida!
12. Wapare kuna koo hawaruhusiwi kuioa au kuolewa nayo eti mlango wa nane!

Yaani list ni ndefu sana inategemea na mila na desturi za watu tofauti tofauti
 
naomba clear explanation kwa wenye uzoefu,is it true kwamba kitovu kikidondokea nanihiiiii ya mtoto atakuwa hawezi.....
 
zongo...eti mtu akimwangalia kwa jicho baya balaa licmpate mtoto, khaa uswahili wanaitumia hii formula sana, unakuta mtoto kakandikwa miwanja utasema mcheza shoo wa twanga.

Hiyo inaitwa hasad na ipo hata kwenye vitabu vya dini ndio maana ukikiona kitu kizuri unatakiwa useme MashaAllah ili kuondoa hasad na wanja sio lazima upakwe kwa kukandika hata ukiweka a spot nyuma ya sikio. Na vitu vinavyozuia hasad na dhahabu ni moja wapo.
 
naomba clear explanation kwa wenye uzoefu,is it true kwamba kitovu kikidondokea nanihiiiii ya mtoto atakuwa hawezi.....

huwezi kupewa maelezo ya kina kwa sababu sayansi haiwezi kuthibitisha hilo.

Ni mila tu ambazo hazina msingi wowote kwenye facts
 
kujitia dhiki tu ......kwa kufuata vitu visivyo msingi.

c unajua uoga bac na mie nakakesha...lol

Unajua hizi hofu zinajengwa ndani ya vichwa vyetu tangu tukiwa wadogo sana....ni ngumu kuvifuta!
Binafsi hadi leo naogopa kukatiza makaburini usiku (naogopa mizuka/mizimu)...kama ikibidi kupita sehemu ya makaburi basi natoka mbio labda kumzidi yule mjamaika Usain Bolt...:llama:
 
namshukuru Mungu sijalelewa kwenye nyumba yenye kuzungumzia hivyo vitu.

nyingi ya hivi nilivyovisikia kwenye thread hii ni mara yangu ya kwanza
 
haki ya nani nimecheka sana, kama nakuona unavyotoka mbio.....
 
zongo...eti mtu akimwangalia kwa jicho baya balaa licmpate mtoto, khaa uswahili wanaitumia hii formula sana, unakuta mtoto kakandikwa miwanja utasema mcheza shoo wa twanga.
:hand::hand::hand::hand::hand::hand:
 
namshukuru Mungu sijalelewa kwenye nyumba yenye kuzungumzia hivyo vitu.

nyingi ya hivi nilivyovisikia kwenye thread hii ni mara yangu ya kwanza

mie hizo imani nyingine nilikuwa nazickia wala zichukulii kihivyo, lakini hii ya mtoto Gaijin wacha tu. ilibidi tu nikeshe.
 
Kumbe nyie watu mnajuana?:llama::llama:

Unasahau uwezo wa SG??:focus:....
Asprin unakumbuka mikanda ya suruali (ilikua inatumia sumaku kufunga) iliingia bongo, watu wakazusha kwamba inaharibu nguvu za bayolojia??? Nadhani wale waagizaji walipata hasara ya kufa mtu, ilitoweka ghafla...
 
mie hizo imani nyingine nilikuwa nazickia wala zichukulii kihivyo, lakini hii ya mtoto Gaijin wacha tu. ilibidi tu nikeshe.

hofu kwa mtoto wako kubwa kuliko kwako mwenyewe. Wamejua kutoa KITISHO sehemu inayouma hasa
 
Back
Top Bottom