FOR SALE : TOYOTA, MARK II, 2000cc, PETROL, MANUAL, 1992, MILAGE 77,000

jebs2002

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
8,801
7,578
Jamaa yangu anauza gari:-

TOYOTA, MARK II, 2000cc, PETROL, MANUAL, 1992, MILAGE 77,000

Bei 3m/-

Contact

0713593900
0757593901

 
Wacha weeee kitu 1992 km 77000? Wametemper na odometer sio bure. Anyway ya kitambo sana hiyo 22 years.
 
Haina tatizo, wasiliana na huyo bwana kwa maelezo zaidi
 
Wacha weeee kitu 1992 km 77000? Wametemper na odometer sio bure. Anyway ya kitambo sana hiyo 22 years.

Kweli kitambo, ila ndio iko sokoni, tafadhali wasiliana na huyo bwana kama unahitaji, kama hapana, hakuna tatizo...
 
Kuna kununua gari iliyokuzidi umri hapa ngoja nisubiri ishuke bei kwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom