jebs2002 JF-Expert Member Sep 3, 2008 8,814 7,590 Dec 31, 2013 #1 Jamaa yangu anauza gari:- TOYOTA, MARK II, 2000cc, PETROL, MANUAL, 1992, MILAGE 77,000 Bei 3m/- Contact 0713593900 0757593901
Jamaa yangu anauza gari:- TOYOTA, MARK II, 2000cc, PETROL, MANUAL, 1992, MILAGE 77,000 Bei 3m/- Contact 0713593900 0757593901
Ngondombole JF-Expert Member Jun 11, 2013 646 184 Dec 31, 2013 #2 duh toka 1992 ina km 77,000??? hiyo gari iko wapi?? Weka Picha.
IPILIMO JF-Expert Member Oct 13, 2012 1,819 799 Dec 31, 2013 #3 Mark ii gani ya 1992? Weka picha na useme ina tatizo gan?
Franky JF-Expert Member Apr 27, 2012 2,021 2,223 Jan 1, 2014 #4 Wacha weeee kitu 1992 km 77000? Wametemper na odometer sio bure. Anyway ya kitambo sana hiyo 22 years.
Wacha weeee kitu 1992 km 77000? Wametemper na odometer sio bure. Anyway ya kitambo sana hiyo 22 years.
jebs2002 JF-Expert Member Sep 3, 2008 8,814 7,590 Jan 1, 2014 Thread starter #5 Haina tatizo, wasiliana na huyo bwana kwa maelezo zaidi
jebs2002 JF-Expert Member Sep 3, 2008 8,814 7,590 Jan 1, 2014 Thread starter #6 Franky said: Wacha weeee kitu 1992 km 77000? Wametemper na odometer sio bure. Anyway ya kitambo sana hiyo 22 years. Click to expand... Kweli kitambo, ila ndio iko sokoni, tafadhali wasiliana na huyo bwana kama unahitaji, kama hapana, hakuna tatizo...
Franky said: Wacha weeee kitu 1992 km 77000? Wametemper na odometer sio bure. Anyway ya kitambo sana hiyo 22 years. Click to expand... Kweli kitambo, ila ndio iko sokoni, tafadhali wasiliana na huyo bwana kama unahitaji, kama hapana, hakuna tatizo...
mbongowakweli JF-Expert Member Aug 24, 2011 841 671 Jan 1, 2014 #7 jebs2002 said: Jamaa yangu anauza gari:- TOYOTA, MARK II, 2000cc, PETROL, MANUAL, 1992, MILAGE 77,000 Bei 3m/- Contact 0713593900 0757593901 Click to expand... Poa mkuu tunaojua biashara tutakutafuta, itakavyokua itakua...
jebs2002 said: Jamaa yangu anauza gari:- TOYOTA, MARK II, 2000cc, PETROL, MANUAL, 1992, MILAGE 77,000 Bei 3m/- Contact 0713593900 0757593901 Click to expand... Poa mkuu tunaojua biashara tutakutafuta, itakavyokua itakua...
Daddo JF-Expert Member Jan 17, 2013 1,433 1,019 Jan 1, 2014 #9 Kuna kununua gari iliyokuzidi umri hapa ngoja nisubiri ishuke bei kwanza.
T taurus5270 Member Dec 31, 2013 79 12 Jan 2, 2014 #10 Ngondombole said: duh toka 1992 ina km 77,000??? hiyo gari iko wapi?? Weka Picha. Click to expand... mie pia nina wasiwasi
Ngondombole said: duh toka 1992 ina km 77,000??? hiyo gari iko wapi?? Weka Picha. Click to expand... mie pia nina wasiwasi