Wacha weeee kitu 1992 km 77000? Wametemper na odometer sio bure. Anyway ya kitambo sana hiyo 22 years.
Jamaa yangu anauza gari:-
TOYOTA, MARK II, 2000cc, PETROL, MANUAL, 1992, MILAGE 77,000
Bei 3m/-
Contact
0713593900
0757593901
duh toka 1992 ina km 77,000???
hiyo gari iko wapi??
Weka Picha.
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us