wakuu naomba majbu ya mambo haya, 1.mtu aliyesoma PCB anaweza kuchaguliwa kusoma engineering kama civil,mining,chemical ,software,computer na IT.? 2.Aliyesoma CBG au CBA anaweza somea doctor of medicine,pharmacy? 3.kama inawezekana kwa vigezo vipi?
kakudanganya,UDSM hakuna medicineme nasoma pcb na ni daktar mtarajiwa.nimeulza haya maswal sababu kuna ndugu yangu yeye amesoma CBG na yuko chuo kanambia anasoma medicine udsm na mwingine aliyesoma pcb kanambia anasoma IT.me ckuwaelewa thats why nimewasilisha kwenu.
me nasoma pcb na ni daktar
mtarajiwa.nimeulza haya maswal sababu kuna ndugu yangu yeye amesoma
CBG na yuko chuo kanambia anasoma medicine udsm na mwingine aliyesoma
pcb kanambia anasoma IT.me ckuwaelewa thats why nimewasilisha
kwenu.
UDSM hamna medicine lakini m2 aliesoma cbg anaweza kusoma medicine kwny vyuo kama st. john ili mradi awe na matokeo mazuri lakini kwa muhimbili ni ngumu!
me nasoma pcb na ni daktar mtarajiwa.nimeulza haya maswal sababu kuna ndugu yangu yeye amesoma CBG na yuko chuo kanambia anasoma medicine udsm na mwingine aliyesoma pcb kanambia anasoma IT.me ckuwaelewa thats why nimewasilisha kwenu.
mh! cbg kijana nasikia kwenda kusoma md probability yake ndogo! Alafu kama nakujua hivi maada hilo jina sio geni kwangu maana shuleni tulipenda kuitana sana dr virus o.level umesoma kwa mpugusi niniwakuu naomba majbu ya mambo haya, 1.mtu aliyesoma PCB anaweza kuchaguliwa kusoma engineering kama civil,mining,chemical ,software,computer na IT.? 2.Aliyesoma CBG au CBA anaweza somea doctor of medicine,pharmacy? 3.kama inawezekana kwa vigezo vipi?
wakuu naomba majbu ya mambo haya, 1.mtu aliyesoma PCB anaweza kuchaguliwa kusoma engineering kama civil,mining,chemical ,software,computer na IT.? 2.Aliyesoma CBG au CBA anaweza somea doctor of medicine,pharmacy? 3.kama inawezekana kwa vigezo vipi?
mpugusi me cmjuimh! cbg kijana nasikia kwenda kusoma md probability yake ndogo! Alafu kama nakujua hivi maada hilo jina sio geni kwangu maana shuleni tulipenda kuitana sana dr virus o.level umesoma kwa mpugusi nini
thanx fadhiliPowa daktari masomo mema.
kuna jamaa yangu alisoma cbg na alpata div ii ya 10 na amepangiwa md lakin kasema anasoma physics chuoni halaf aendelee na md.hapo haiwezekan kwan civil inahitaj m2 aliyexoma pure maths. Pia cbg,cba hao nao hawawez soma doct of medic