for PCM,PCB,CBG takers...

Dr.viruz

Senior Member
May 28, 2013
183
154
wakuu naomba majbu ya mambo haya, 1.mtu aliyesoma PCB anaweza kuchaguliwa kusoma engineering kama civil,mining,chemical ,software,computer na IT.? 2.Aliyesoma CBG au CBA anaweza somea doctor of medicine,pharmacy? 3.kama inawezekana kwa vigezo vipi?
 
Unajiita dk na unaliza maswali km hayo....
 
me nasoma pcb na ni daktar mtarajiwa.nimeulza haya maswal sababu kuna ndugu yangu yeye amesoma CBG na yuko chuo kanambia anasoma medicine udsm na mwingine aliyesoma pcb kanambia anasoma IT.me ckuwaelewa thats why nimewasilisha kwenu.
 
kakudanganya,UDSM hakuna medicine
 
me nasoma pcb na ni daktar
mtarajiwa.nimeulza haya maswal sababu kuna ndugu yangu yeye amesoma
CBG na yuko chuo kanambia anasoma medicine udsm na mwingine aliyesoma
pcb kanambia anasoma IT.me ckuwaelewa thats why nimewasilisha
kwenu.

UDSM hamna medicine lakini m2 aliesoma cbg anaweza kusoma medicine kwny vyuo kama st. john ili mradi awe na matokeo mazuri lakini kwa muhimbili ni ngumu!
 
dah!.amendanganya kwel.....!.ngoja nimchek nimpe madongo kwa pm kwan ni memba wa huku jf....
 
UDSM hamna medicine lakini m2 aliesoma cbg anaweza kusoma medicine kwny vyuo kama st. john ili mradi awe na matokeo mazuri lakini kwa muhimbili ni ngumu!

mkuu nawe acha uongo, st john hakuna MD, kuna pharmacy tu na coz zingine, maybe st francis ambapo perfomance yake inabidi hiwe juu kidogo in CBG
 
me nasoma pcb na ni daktar mtarajiwa.nimeulza haya maswal sababu kuna ndugu yangu yeye amesoma CBG na yuko chuo kanambia anasoma medicine udsm na mwingine aliyesoma pcb kanambia anasoma IT.me ckuwaelewa thats why nimewasilisha kwenu.

Powa daktari masomo mema.
 
wakuu naomba majbu ya mambo haya, 1.mtu aliyesoma PCB anaweza kuchaguliwa kusoma engineering kama civil,mining,chemical ,software,computer na IT.? 2.Aliyesoma CBG au CBA anaweza somea doctor of medicine,pharmacy? 3.kama inawezekana kwa vigezo vipi?
mh! cbg kijana nasikia kwenda kusoma md probability yake ndogo! Alafu kama nakujua hivi maada hilo jina sio geni kwangu maana shuleni tulipenda kuitana sana dr virus o.level umesoma kwa mpugusi nini
 
CBG unaeza soma MD but lazima uwe na matokeo mazuri kwenye chem na bios
 
wakuu naomba majbu ya mambo haya, 1.mtu aliyesoma PCB anaweza kuchaguliwa kusoma engineering kama civil,mining,chemical ,software,computer na IT.? 2.Aliyesoma CBG au CBA anaweza somea doctor of medicine,pharmacy? 3.kama inawezekana kwa vigezo vipi?

hapo haiwezekan kwan civil inahitaj m2 aliyexoma pure maths. Pia cbg,cba hao nao hawawez soma doct of medic
 
mh! cbg kijana nasikia kwenda kusoma md probability yake ndogo! Alafu kama nakujua hivi maada hilo jina sio geni kwangu maana shuleni tulipenda kuitana sana dr virus o.level umesoma kwa mpugusi nini
mpugusi me cmjui
 
hapo haiwezekan kwan civil inahitaj m2 aliyexoma pure maths. Pia cbg,cba hao nao hawawez soma doct of medic
kuna jamaa yangu alisoma cbg na alpata div ii ya 10 na amepangiwa md lakin kasema anasoma physics chuoni halaf aendelee na md.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom