For only sua students

nyambari

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
355
171
Samahani wakuu naomba kuuliza kama ratiba ya probation exams imetoka maana kwenye website hakuna chochote na nimesikia tetesi kuwa mitihani ni tar 17 sio 10 kama almanac inavyosema please tujulishane
 
Ratiba bado haijatoka so haiwezi kuwekwa kwenye website na hilo la kusema ni tarehe 17 na sio 10 mngetangaziwa lakini kwa ufahamu tu wa kawaida first year wanatakiwa kuripoti tarehe 25 na kuanza orientation tarehe 26, na kwa kawaida probabtion zinafanyika kwa wiki mbili ( siku 14) so ukijumlisha 17 na 14 unapata 31 na chuo kilishatangazwa kufunguliwa tarehe 30, kwa hiyo probation kuhairishwa hadi 17 ni kama vile haiwezekani! nakushauri we jiandae tu kwa hiyo tarehe 10! karibu kwenye September crusade!
 
Samahani wakuu naomba kuuliza kama ratiba ya probation exams imetoka maana kwenye website hakuna chochote na nimesikia tetesi kuwa mitihani ni tar 17 sio 10 kama almanac inavyosema please tujulishane

pole sana...mwenyewe j3 nina changu kimoja pale udsm..
 
Nashukuru kilembwe kwa taarifa hiyo asante nishakaribia kwenye september crusade.
 
samahani wanafunzi wa SUA .. mimi si mwanasua lakini kichwa cha habari ungeandika kiswahili ingependeza kidogo , inawezekana lugha ya malkia waijua ila kupangilia mpaka sentensi ije makini umechemka ingawa imeeleweka ...

usijali bwana njiwa ni mambo ya "structuture" hayakwenda vizuri o' level.
 
lol! vijana mnanipa raha,mnavyoongelea kama vile dili flani! msijali,kaeni humu jf mtapaa majibu ya supu,taratibu msijetoka na gentlemen's pass kama mukulu,si unaona anatusumbua eeh!
 
Kwani we mzee unasoma chuo gani mbona haya mambo naona kama hayakuhusu vile nini maana ya jukwaa la elimu? na hiyo thread imeandikwaje? mkuu una matatizo.
 
Kwani we mzee unasoma chuo gani mbona haya mambo naona kama hayakuhusu vile nini maana ya jukwaa la elimu? na hiyo thread imeandikwaje? mkuu una matatizo.

jukwaa la Elimu ni kujadili mambo ya maana sio ratba ya probation. Kuna siku mtauliza ratiba za masomo. Sio lazma kila mmoja kuanzisha topic. Shame on you.
 
jukwaa la Elimu ni kujadili mambo ya maana sio ratba ya probation. Kuna siku mtauliza ratiba za masomo. Sio lazma kila mmoja kuanzisha topic. Shame on you.

kwani we unasoma sua ndo maana kabla ya kupost kitu unaandika title ili kila mtu ajue sehemu inayomhusu nakushangaa kukomalia mambo yasiyokuhusu kweli umezeeka kama jina lako fu**k u "mzee"
 
jukwaa la Elimu ni kujadili mambo ya maana sio ratba ya probation. Kuna siku mtauliza ratiba za masomo. Sio lazma kila mmoja kuanzisha topic. Shame on you.

mbona hujajibu unasoma chuo gani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom