Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani wakuu naomba kuuliza kama ratiba ya probation exams imetoka maana kwenye website hakuna chochote na nimesikia tetesi kuwa mitihani ni tar 17 sio 10 kama almanac inavyosema please tujulishane
pole sana...mwenyewe j3 nina changu kimoja pale udsm..
hv timetable y septmbr conference ya udsm ishatoka? Tafadhar naomb unjurishe plz
Hakuna wanafunzi unaojuana nao hadi uje jf?.
wanafunz nnaojuana nao wote wako humu jf jombaa
Kwani we mzee unasoma chuo gani mbona haya mambo naona kama hayakuhusu vile nini maana ya jukwaa la elimu? na hiyo thread imeandikwaje? mkuu una matatizo.
we ungefaa ukasome udom sio sua.
jukwaa la Elimu ni kujadili mambo ya maana sio ratba ya probation. Kuna siku mtauliza ratiba za masomo. Sio lazma kila mmoja kuanzisha topic. Shame on you.
hv timetable y septmbr conference ya udsm ishatoka? Tafadhar naomb unjurishe plz
mbona hujajibu unasoma chuo gani?
we ungefaa ukasome udom sio sua.