Ni sehemu ya vitu vinavyofanya maisha kuwa mazuri kama kuwa na kiapato, makazi mazuri, chakula, mavazi na elimuMaisha mazuri ndio gari!!?
Huyo nae alizidi...alishindwa nini kwenda kujifunza?? Watu wameshiba aiseekuna jamaa alipata kazi ya marketing ilimshindaa coz aliambiwa anatakiwa awe anajua gari, kapewa muda awe ameshajua!' mwisho wa siku akakimbia kazi ...........
Wengine ni waoga sanaHuyo nae alizidi...alishindwa nini kwenda kujifunza?? Watu wameshiba aisee
Hivyo vingi kuna vya muhimu kama hiyo drivingUse and disuse. Kwa ulimwengu wenye vitu vingi lazima uwe selective huwezi jifunza kila kitu bhana
Na gari nzuri.Ni sehemu ya vitu vinavyofanya maisha kuwa mazuri kama kuwa na kiapato, makazi mazuri, chakula, mavazi na elimu
Kwanini isiwe meli au ndege?Men of this forum.
Ulimwengu huu unakuwa kwa kasi sana and most things now come easily, kuna mambo mengine ni magumu lakini mengine ni marahisi sana na ni budi kwa kila mwanaume kuyajua na kuweza kuyafanya.
Moja wapo ni hili la ujuzi wa kuweza kuendesha gari au pikipiki, hata kama huna, ni vizuri kujifunza na ukakaa na ujuzi wako, coz huwezi kupoteza kitu.
Nimeshangaa sana kuona a man mwenye zaidi ya miaka 35, hawezi kuendesha gari wala pikipiki na amekaa mjini miaka kibao. Hata kama huna, its better to find a way and learn. Sio unafikisha miaka 40 unapata ka gari kako unakapiga lebo ya Learner, au ndiyo unakuwa unababaika barabarani kisa ndiyo unajifunza.
Nashauri tu, kuwa na huu ujuzi wa driving ni kitu chema.
Ladies, advice your men to search for this knowledge.
Nawasilisha.
Ndo kushiba huko. Unaweza kuogopa kujifunza gari?Wengine ni waoga sana
Yes kuna watu wana phobia ya magari kabisaNdo kushiba huko. Unaweza kuogopa kujifunza gari?
Mmh pole yaoYes kuna watu wana phobia ya magari kabisa
We phobia yako ni nini?Mmh pole yao
We utaendeshwa hata wakati binafsi? (at ur private time)Wengine tukiendesha tunaharibu protocol
Et mgawanyo wa majukumu hv uko Dunia gani? Siku hz wanahitajika mult purpose worker's ili ku cut cost we unakuja na mambo ya kizamanithumbup proffesor na hii ndo tunaita mgawanyo wa majukumu
Hata sijui bestWe phobia yako ni nini?
Wataendelea kukaa mtaaniEt mgawanyo wa majukumu hv uko Dunia gani? Siku hz wanahitajika mult purpose worker's ili ku cut cost we unakuja na mambo ya kizamani
Jamaa umetoa ushauri mzuri kweli ila baadhi ya watu Mapovu yamewatokaMen of this forum.
Ulimwengu huu unakuwa kwa kasi sana and most things now come easily, kuna mambo mengine ni magumu lakini mengine ni marahisi sana na ni budi kwa kila mwanaume kuyajua na kuweza kuyafanya.
Moja wapo ni hili la ujuzi wa kuweza kuendesha gari au pikipiki, hata kama huna, ni vizuri kujifunza na ukakaa na ujuzi wako, coz huwezi kupoteza kitu.
Nimeshangaa sana kuona a man mwenye zaidi ya miaka 35, hawezi kuendesha gari wala pikipiki na amekaa mjini miaka kibao. Hata kama huna, its better to find a way and learn. Sio unafikisha miaka 40 unapata ka gari kako unakapiga lebo ya Learner, au ndiyo unakuwa unababaika barabarani kisa ndiyo unajifunza.
Nashauri tu, kuwa na huu ujuzi wa driving ni kitu chema.
Ladies, advice your men to search for this knowledge.
Nawasilisha.
unawesa kujua kuendesha gari na usimiliki garisote tukijua kuendesha magari nani atamwendesha mwenzake
Eti tell your boys! Anyways,kila mtu ana malengo yake katika maisha,gari inaweza isiwe priority kwake bali kutimiza ndoto zake alizokuwa nazo tangu mwanzoni kama kujenga nyumba,kununua shamba,kuanzisha biashara nk. Mtu huwezi ukaamua kujifunza gari wakat mpango wa kununua gari lenyewe huna...ya nini kujichosha.
Shikamoo mkuuBinafsi kuendesha pikipiki sijui na sijui kwa nini moyo wangu hautaki, kuna piki Piagio nilinunuwa zamani ni auto na mafuta yakikuishia unanyonga pedal kama baiskeli hiyo ndio nilikuwa naendesha. kudrive gari nimeanza 1990.