For men: Hivi hii imekaaje?

hernest

Member
Apr 10, 2013
49
9
utakuta mwanaume ana girl friend mwenye tabia nzuri na ye anaona anafaa kua mke, alafu mwanaume uyo anakua na wanawake wengne ila anasema anakupenda wewe na ndo mke wake ivi hii ni sawa jaman..... mbaya zaidi humchuni unamwacha ili afanye maendeleo ila wakija hao anawahonga tu... jamani wanaume wenye tabia hii mbadilike mnaumiza sana
 
Si na wewe umpendezeshe ulie nae jaman?? Usione vimeng'aa mkuu kuna kaz imefanyika hapo kati!!!
Wanaume tuko possessive na tunataka yote. Ukikutana na mwanaume akakwambia hataki 'sexual freedom' na vidosho huyo ni muongo, hanith au gay/
 
Ni Hivii, ukikodi gari la mtu utaendesha rafu mbaya (si hela imekutoka??) ila la kwako lazima ulitunzee ...NDIVYO TULIVYO!!!
 
utakuta mwanaume ana girl friend mwenye tabia nzuri na ye anaona anafaa kua mke, alafu mwanaume uyo anakua na wanawake wengne ila anasema anakupenda wewe na ndo mke wake ivi hii ni sawa jaman..... mbaya zaidi humchuni unamwacha ili afanye maendeleo ila wakija hao anawahonga tu... jamani wanaume wenye tabia hii mbadilike mnaumiza sana

ukiona hivyo ujue mke/mpenzi wa kike anafaa kwa mapenzi na yule wa nje anafaa kwa uzinifu. Hii kitu ni asili kwa wanaume tuliyo wengi, binafsi nilishajaribu kuwa na uhusiano na mpenzi mmoja lkn nilishindwa, itabidi wanawake mzoee/mjifunze kuchangia wanaume, ukizingatia tupo wachache, kila mwanaume akiwa na mpenzi/mkee wake tu wanawake wengine watakosa wanaume.
 
Hapo ndo naposhindwa kuwaelewa wanaume wetu hawa wa skuizi. Sijui wapoje????

Mwashalii, tabia hii ipo kwa wanaume tangu YESU alipokuwa mtoto mpaka leo na itakuwepo milele, ukitaka kuthibitisha haya ninayokuambia, kasome vitabu vya dini au chunguza ktk ukoo wako utagundua wanaume wengi ktk ukoo wako wamezaa/walizaa na mwanamke zaidi ya mmoja.
 
Some people say that "men are just big boys and they should be treated like one" hapo ndo kuna taabu hapo si unajua vituko vya wavulana!!!!!!!!!!!!!!! Naamini anakuwa anakupenda kweli ila sasa maisha ya kujikwaa ndo yanamfikisha kwa hao wengine ambao anapita tu na haraka sana anarudisha majeshi nyumbani
utakuta mwanaume ana girl friend mwenye tabia nzuri na ye anaona anafaa kua mke, alafu mwanaume uyo anakua na wanawake wengne ila anasema anakupenda wewe na ndo mke wake ivi hii ni sawa jaman..... mbaya zaidi humchuni unamwacha ili afanye maendeleo ila wakija hao anawahonga tu... jamani wanaume wenye tabia hii mbadilike mnaumiza sana
 
ukiona hivyo ujue mke/mpenzi wa kike anafaa kwa mapenzi na yule wa nje anafaa kwa uzinifu. Hii kitu ni asili kwa wanaume tuliyo wengi, binafsi nilishajaribu kuwa na uhusiano na mpenzi mmoja lkn nilishindwa, itabidi wanawake mzoee/mjifunze kuchangia wanaume, ukizingatia tupo wachache, kila mwanaume akiwa na mpenzi/mkee wake tu wanawake wengine watakosa wanaume.

so unakua na yule unaempenda then huwez kua na huyo 2 hata kama anakutimizia haja zako kila unapomhitaji au inakuaje...... unajua mwanamke akiamua hawezi cheat milele?
 
Mwashalii, tabia hii ipo kwa wanaume tangu YESU alipokuwa mtoto mpaka leo na itakuwepo milele, ukitaka kuthibitisha haya ninayokuambia, kasome vitabu vya dini au chunguza ktk ukoo wako utagundua wanaume wengi ktk ukoo wako wamezaa/walizaa na mwanamke zaidi ya mmoja.

Mbali kote huko kwa nini wakat mfano nnao kwa ex-boyfrnd wangu alinitenda kwa mama mtu mzima pindi nipo chuo nasoma. Namchukiaje sasa??? Eti ooh..shetan alinipitia,basi aendelee kumpitia ivo ivo tu
 
ukiona hivyo ujue mke/mpenzi wa kike anafaa kwa mapenzi na yule wa nje anafaa kwa uzinifu. Hii kitu ni asili kwa wanaume tuliyo wengi, binafsi nilishajaribu kuwa na uhusiano na mpenzi mmoja lkn nilishindwa, itabidi wanawake mzoee/mjifunze kuchangia wanaume, ukizingatia tupo wachache, kila mwanaume akiwa na mpenzi/mkee wake tu wanawake wengine watakosa wanaume.

dissssagreeeee!!!!!
 
utakuta mwanaume ana girl friend mwenye tabia nzuri na ye anaona anafaa kua mke, alafu mwanaume uyo anakua na wanawake wengne ila anasema anakupenda wewe na ndo mke wake ivi hii ni sawa jaman..... mbaya zaidi humchuni unamwacha ili afanye maendeleo ila wakija hao anawahonga tu... jamani wanaume wenye tabia hii mbadilike mnaumiza sana
sio wote tafuta mwenye vigezo uvitakavyo! usimgande asiyekuwa na tija and how come unajua mwenzako ana wengine wengi na bado unavumilia.? we mvumilivu!
 
haipo kwangu ila nawaona vijana wengi wanavoishi
 
Yaani mfano we kidume unaona labda watoto(wa kike) wakivaa sare za shule ndo wanakuchanganya,basi mnunulie huyu girlfriend(mchumba) wako za shule tofauti ili awe anavaa hizo!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom