utakuta mwanaume ana girl friend mwenye tabia nzuri na ye anaona anafaa kua mke, alafu mwanaume uyo anakua na wanawake wengne ila anasema anakupenda wewe na ndo mke wake ivi hii ni sawa jaman..... mbaya zaidi humchuni unamwacha ili afanye maendeleo ila wakija hao anawahonga tu... jamani wanaume wenye tabia hii mbadilike mnaumiza sana