KakaKiiza JF-Expert Member Feb 16, 2010 11,574 8,592 Dec 4, 2010 #1 Jamani wana jamii mnaoishi morogoro mimi nipo katika mkoa wenu! ningefurahi kama ningekutana na anyone jf member!if any pls pm me.
Jamani wana jamii mnaoishi morogoro mimi nipo katika mkoa wenu! ningefurahi kama ningekutana na anyone jf member!if any pls pm me.
Rutunga M JF-Expert Member Mar 16, 2009 1,769 1,382 Dec 4, 2010 #2 KakaKiiza said: Jamani wana jamii mnaoishi morogoro mimi nipo katika mkoa wenu! ningefurahi kama ningekutana na anyone jf member!if any pls pm me. Click to expand... she or he na time zipi?
KakaKiiza said: Jamani wana jamii mnaoishi morogoro mimi nipo katika mkoa wenu! ningefurahi kama ningekutana na anyone jf member!if any pls pm me. Click to expand... she or he na time zipi?
K KERENG'ENDE JF-Expert Member Nov 14, 2010 398 31 Dec 4, 2010 #3 Tukutane wapi? na lini sema kama kutakuwa na bia.......
KakaKiiza JF-Expert Member Feb 16, 2010 11,574 8,592 Dec 4, 2010 Thread starter #4 Mda ambao wewe unaweza kuongea na mtu unajua unamheshimu.
Baba_Enock JF-Expert Member Aug 21, 2008 7,076 2,443 Dec 4, 2010 #5 Njoo Kaumba hapa utakuta nimekaa kaunta nakunywa Serengeti
K KERENG'ENDE JF-Expert Member Nov 14, 2010 398 31 Dec 4, 2010 #7 Unaita watu halafu hujui mkutane wapi na saangapi? kweli wewe huja tulia hata kidogo......
K KERENG'ENDE JF-Expert Member Nov 14, 2010 398 31 Dec 4, 2010 #8 Baba Enock Kama kaumba ndio maeneo yako......... Basi hicho nichoo cha kike usitegemee great thinker atakuja maeneo kama hayo
Baba Enock Kama kaumba ndio maeneo yako......... Basi hicho nichoo cha kike usitegemee great thinker atakuja maeneo kama hayo
KakaKiiza JF-Expert Member Feb 16, 2010 11,574 8,592 Dec 10, 2010 Thread starter #9 KERENG'ENDE said: Baba Enock Kama kaumba ndio maeneo yako......... Basi hicho nichoo cha kike usitegemee great thinker atakuja maeneo kama hayo Click to expand... Nilidhani atasema sehemu zenye hadhi unasema kaumba na chip-kidz nikafanye nini huko!!
KERENG'ENDE said: Baba Enock Kama kaumba ndio maeneo yako......... Basi hicho nichoo cha kike usitegemee great thinker atakuja maeneo kama hayo Click to expand... Nilidhani atasema sehemu zenye hadhi unasema kaumba na chip-kidz nikafanye nini huko!!
KakaKiiza JF-Expert Member Feb 16, 2010 11,574 8,592 Dec 10, 2010 Thread starter #10 Mpaka nimeondoka hakuna wakuni pm!!mnanikaribisha kaumba uwanja wa fisi mishikaki nyama za mbwa!!byebye!!!
Mpaka nimeondoka hakuna wakuni pm!!mnanikaribisha kaumba uwanja wa fisi mishikaki nyama za mbwa!!byebye!!!