For Jf member in morogoro

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,577
8,596
Jamani wana jamii mnaoishi morogoro mimi nipo katika mkoa wenu! ningefurahi kama ningekutana na anyone jf member!if any pls pm me.
 
Mda ambao wewe unaweza kuongea na mtu unajua unamheshimu.
 
Unaita watu halafu hujui mkutane wapi na saangapi? kweli wewe huja tulia hata kidogo......
 
Baba Enock

Kama kaumba ndio maeneo yako......... Basi hicho nichoo cha kike usitegemee great thinker atakuja maeneo kama hayo
 
Baba Enock

Kama kaumba ndio maeneo yako......... Basi hicho nichoo cha kike usitegemee great thinker atakuja maeneo kama hayo

Nilidhani atasema sehemu zenye hadhi unasema kaumba na chip-kidz nikafanye nini huko!!
 
Mpaka nimeondoka hakuna wakuni pm!!mnanikaribisha kaumba uwanja wa fisi mishikaki nyama za mbwa!!byebye!!!
 
Back
Top Bottom